Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu hajui hata anaongea nini!Reli ya TAZARA imewashinda kuisimamia kiasi cha kutaka kumrudishia Mchina aiendeshe! Hiyo ya mwendokasi mtaiweza kweli!! Au ndiyo mambo yale yale ya kutubebesha wananchi mzigo mkubwa wa kodi, tozo na madeni ili kugharamia hiyo miradi?
Ni SGR, siyo lazima iwe mwendo kasi. Kwa ufupi Mikoa ya Kusina inahitaji kuunganishwa na Dodoma na arusha kwa reli kwa ajili ya usafirishaji wa makaa ya mawe na mazao ya mbao.Reli ya TAZARA imewashinda kuisimamia kiasi cha kutaka kumrudishia Mchina aiendeshe! Hiyo ya mwendokasi mtaiweza kweli!! Au ndiyo mambo yale yale ya kutubebesha wananchi mzigo mkubwa wa kodi, tozo na madeni ili kugharamia hiyo miradi?
Mradi wa mabasi ya mwendokasi wamefeli kuusimamia leo wanataka kurukia SGR!!
Ndo yaleyale ya bima ya afya kwa wote wakati CHF haifanyi vizuri
Hizo porojo za uchaguzi.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya kusini.
Akizungumza wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya TRC na waandishi wa habari mkoani Morogoro, Bw. Kadogosa amesema tayari taasisi za kifedha zimeonesha nia ya kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 2.4 (zaidi ya Shilingi Trilioni 6.4) kufanikisha ujenzi huo.
"Kuna uwezekano tukaanza ujenzi wa reli ya kusini, tumedhamiria kuanza ujenzi huu na mpango mwingine ni ule unaohusisha ujenzi wa reli ya kilometa 1,053 kutoka Tanga hadi Musoma kupitia Arusha"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Bw. Kadogosa amesema maeneo hayo pia yanafursa hasa usafirishaji wa mizigo kutokana na shughuli za kiuchumi zikiwemo uchimbaji wa madini.
Chanzo: ITV Digital
Isiwe tu miradi hii inaletwa motisha ikiwa kukopa ili vigogo mpige Hela za kukopa juu Kwa juu na kula percent za rushwa. Baada hapo ujenzi una suasua na hata baada ya miradi reli hazipewi nafasi yake zinabanwa na malori na mabasi ya kampuni za hao hao vigogo. Tumeona tazara na tumekataa kurudiwa SGR uroho huu wa vigogo. Reli lazima Kwa mpango na Sheria zipewe nafasi ili kujenga uchumi wa nchi kwa kupunguza gharama ya bidhaa kutokana na unafuu wa bei ya usafirishaji.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya kusini.
Akizungumza wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya TRC na waandishi wa habari mkoani Morogoro, Bw. Kadogosa amesema tayari taasisi za kifedha zimeonesha nia ya kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 2.4 (zaidi ya Shilingi Trilioni 6.4) kufanikisha ujenzi huo.
"Kuna uwezekano tukaanza ujenzi wa reli ya kusini, tumedhamiria kuanza ujenzi huu na mpango mwingine ni ule unaohusisha ujenzi wa reli ya kilometa 1,053 kutoka Tanga hadi Musoma kupitia Arusha"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Bw. Kadogosa amesema maeneo hayo pia yanafursa hasa usafirishaji wa mizigo kutokana na shughuli za kiuchumi zikiwemo uchimbaji wa madini.
Chanzo: ITV Digital
Huku ni kuhangaika ilimradi wapate shamba la kujipigia.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya kusini.
Akizungumza wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya TRC na waandishi wa habari mkoani Morogoro, Bw. Kadogosa amesema tayari taasisi za kifedha zimeonesha nia ya kutoa kiasi cha Dola za Marekani bilioni 2.4 (zaidi ya Shilingi Trilioni 6.4) kufanikisha ujenzi huo.
"Kuna uwezekano tukaanza ujenzi wa reli ya kusini, tumedhamiria kuanza ujenzi huu na mpango mwingine ni ule unaohusisha ujenzi wa reli ya kilometa 1,053 kutoka Tanga hadi Musoma kupitia Arusha"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Bw. Kadogosa amesema maeneo hayo pia yanafursa hasa usafirishaji wa mizigo kutokana na shughuli za kiuchumi zikiwemo uchimbaji wa madini.
Chanzo: ITV Digital
Kwani we ht treni huwezi kununua? Reli ni km barabara watakuja wawekezaji watanunua treni na kutumia hiyo reliReli ya TAZARA imewashinda kuisimamia kiasi cha kutaka kumrudishia Mchina aiendeshe! Hiyo ya mwendokasi mtaiweza kweli!! Au ndiyo mambo yale yale ya kutubebesha wananchi mzigo mkubwa wa kodi, tozo na madeni ili kugharamia hiyo miradi?
Serikali yetu tukufu ipongezweMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa amesema serikali ipo katika hatua muhimu za kuanza ujenzi wa reli ya kisasa ya treni za mwendokasi (SGR) katika mikoa ya kusini.