Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wakurugenzi wa tume ya uchaguz Tanzania nadhani Kuna mnapaswa kuendelea kujitafakari; hakuna namna nchi itakuwa na maridhiano mkiwa ofisini kwa sababu ninyi ni Moja ya Watu waliotumika vibaya kutweza utu wa Watanzania 2020.
Mzee Warioba anaposema mbele yenu Kwamba ni mwaka 2020 ndipo wagombea waliposhindwa kujaza for za UCHAGUZI. Maana yake anakuambia wewe na Watu wako mlitumika vibaya. Kwamba wabunge waliotoka Bungeni wakaenda kugombea upya wanashindwa kujaza fomu?
Lakini wewe bila kuona namna ofisi inavyodhalilishwa umekaa kwenye mkutano tena ukipiga makofi. Mhe. Rais anatamka wazi kwamba tumekoseana na wewe unaelewa anakugusa wewe na taasisi Yako but still you feel comfortable?
Lini tutapata viongozi wanaowaza uwajibikaji? Au Hadi mtumbuliwe? Kaeni pembeni mwache Rais aanze safari ya maridhiano watu wakiwa na amani. Hakuna maridhiano ya kisiasa mbele yenu.