The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Sheria imerekebishwa au watu wamejirekebisha?Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa, Agosti 1, 2025 jijini Dar es Salaam katika Kikao baina ya tume hiyo na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Kailima alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mmoja wa wahariri juu ya tatizo ambalo limekuwa likijitokeza kwenye uchaguzi la mawakala kuzuiwa au kucheleweshwa vituoni na kuruhusiwa uchaguzi ukiwa umekwishaanza.
Katika majibu yake, Kailima amesema: “Angalia mwenendo wa tume wakati wa uchaguzi mdogo, hakukuwa na changamoto za mawakala, tumekwisha kujirekebisha kutokana na changamoto zile.”
Aidha, amesema kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, amevitaka vyama kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa wasimamizi wa uchaguzi siku saba kabla ya siku ya kupiga kura ambayo itakuwa Oktoba 22, 2025 na kuwa wataapisha kwenye kata.
“Tunawaomba ninyi wahariri, mvihamasishe vyama vya siasa kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa mujibu wa sheria yaani Oktoba 22,” amesema Kailima.
Kabla hatujakubali na kukuelewa kuwa mlikuwa na mmekuwa mnazingua,tubu matambi yote kwa uwazi na kwa kujutia kabla ya kutushawishi au kumshawishi Mtanzania kuwa mlikuwa mkifanya makosa,na sasa mmetambua makosa yenu na mnaomba msamaa na kuwa mkotayari kujirekebisha,na kukataa dosari za kutengeneza kwa manufaa ya ccm na watawala wang'ang'ania madaraka.Ukiweza hilo nitakuelewa na Kila Mtanzania atakuelewa.Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa, Agosti 1, 2025 jijini Dar es Salaam katika Kikao baina ya tume hiyo na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Kailima alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mmoja wa wahariri juu ya tatizo ambalo limekuwa likijitokeza kwenye uchaguzi la mawakala kuzuiwa au kucheleweshwa vituoni na kuruhusiwa uchaguzi ukiwa umekwishaanza.
Katika majibu yake, Kailima amesema: “Angalia mwenendo wa tume wakati wa uchaguzi mdogo, hakukuwa na changamoto za mawakala, tumekwisha kujirekebisha kutokana na changamoto zile.”
Aidha, amesema kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, amevitaka vyama kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa wasimamizi wa uchaguzi siku saba kabla ya siku ya kupiga kura ambayo itakuwa Oktoba 22, 2025 na kuwa wataapisha kwenye kata.
“Tunawaomba ninyi wahariri, mvihamasishe vyama vya siasa kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa mujibu wa sheria yaani Oktoba 22,” amesema Kailima.
huyu ni shetani, msimwamini shetani kamweKailima Ramadhani
Hakuna swali la kijinga duniani.🫸🫷Watajitajika mawakala?
Pumbavu zaoTume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa, Agosti 1, 2025 jijini Dar es Salaam katika Kikao baina ya tume hiyo na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Kailima alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mmoja wa wahariri juu ya tatizo ambalo limekuwa likijitokeza kwenye uchaguzi la mawakala kuzuiwa au kucheleweshwa vituoni na kuruhusiwa uchaguzi ukiwa umekwishaanza.
Katika majibu yake, Kailima amesema: “Angalia mwenendo wa tume wakati wa uchaguzi mdogo, hakukuwa na changamoto za mawakala, tumekwisha kujirekebisha kutokana na changamoto zile.”
Aidha, amesema kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi, amevitaka vyama kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa wasimamizi wa uchaguzi siku saba kabla ya siku ya kupiga kura ambayo itakuwa Oktoba 22, 2025 na kuwa wataapisha kwenye kata.
“Tunawaomba ninyi wahariri, mvihamasishe vyama vya siasa kuhakikisha vinawasilisha majina ya mawakala kwa mujibu wa sheria yaani Oktoba 22,” amesema Kailima.
Astaghifilulah! Mswalie mtume ustaadha!Pumbavu zao
Bora chadema walivyogoma kusaini huu usengeSheria ya Uchaguzi, Sura ya 343.
"Mawakala wa vyama hawaruhusiwi kuingia na simu za mkononi, kamera au vifaa vyovyote vya kurekodia katika vituo vya kupigia au kuhesabia kura."
Nachefukwa nikiyaona majitu ya nec mkuuAstaghifilulah! Mswalie mtume ustaadha!
Pitia kwenye kaburi la Mwakiyeyeu umlaani yeye na vibaka wenzake mhishimiwa.Nachefukwa nikiyaona majitu ya nec mkuu
December ntakuwpo.huko..i hope ntaichek tulewe juu ya kaburPitia kwenye kaburi la Mwakiyeyeu umlaani yeye na vibaka wenzake mhishimiwa.