GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: Changamoto ya mawakala tumejirekebisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Usimwamini shetani hata siku moja. Huyu ni shetani mbaya kuliko hata shetani Mahela. Angalia kanuni za uchaguzi alizozitengeneza, ndiyo utajua alivyo shetani mbaya kuliko wote waliomtangulia.
 
Kumbe mambo yako sawa, chadema huwa wanatudanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…