johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya Mheshimiwa 😀Sio kazi ya Bashe kushughulikia vitu hivyo, yeye anahusuka na utungaji sera na kuizuia serikali, ikipitishwa kuna wapo wa kuwajibika...mfano hazina kuipatia wizara bajeti ya utekelezaji.
Kama haoewi pesa hawezi kutoa oesa nfukoni.
Watanzania ni vilazza hawajui kuhukunu kwa haki...
BASHE anajaribu