Mkurugenzi wa Uchimbaji Visima aondolewa kwa kutofika Hanang baada ya Mafuriko

Haya Mheshimiwa πŸ˜€
 
Kwa maelezo yako kwa sasa maji sio muhimu ? Hiv unatumia nin kufikiria lakin wew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Au ndio Pinga Pinga Fc πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Visima huchimbwa kiangazi, sijui masika utapimaje sehemu sahihi ya kuchimba maana kila mahali pana maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…