Oscar Mirambo rasmi ndiye mkurugenzi wa ufundi atahusika na timu ya taifa zote za vijana na wakubwa,wakike na kiume.
Ana kazi ya kuandaa sera za mpira wa Tanzania na kutoa mwongozo wa namna soka letu liwe ili iwe faida kwetu.Ana ujuzi katika menejiment na ukocha pia.
Je,unaonaje maamuzi haya ya TFF?
Mi naona hawezi kwa kuwa Watanzania hasa kwenye utaalamu tuna tabia ya kudharauliana.Pale TFF hatopata ushirikiano mkubwa kwa kuwa bado sijaona kama TFF ina mipango thabiti ksa hiyo huenda akawa na mawazo mazuri ila yakapuuzwa Ila angekuja wa kutoka nje hasa mzungu basi angepewa kipaumbeleKwani wewe unaonaje bro?
Pamoja na timu kuwa na under 17 Yeye Mirambo anajukumu la kuzimonitor academy zote ili kuwe na mpira wa kitanzania.haiwezekeni Kila academy iwe na falasafa yake badala yake yeye atateua staili ya kucheza ya kitanzania.hivi Tanzania kuna ligi za vijana ya under 18 ?
bila kuwa na academy za kizalisha wachezaji kwa kila team ya ligi kuu soka letu haliwezi kukua
Kim alikuwa powa ila hata angepatikana mwingine kutoka ulaya mwenye weledi ingekuwa powaTz tunakwama sana...kwa namna hii hakuna tutakaloambulia. Yule Kim polsean alifaa sana kuwa mkurugenzi wa ufundi...maana tayati alishashiriki baadhi ya program ambazo alizianzisha na zikawa zinatekelezwa na huyo mirambo...kwangu Mimi nadhani nafasi hiyo angepewa mzungu...
Sina maana waswahili hawawezi..but ule umakini kwetu hakuna..alafu pia kuthaminiwa hakupo...huyo. Mirambo anaweza omba apewe pesa kwa ajili ya miradi ya maendeleo akashia kupigwa kalenda...
Mi naona hawezi kwa kuwa Watanzania hasa kwenye utaalamu tuna tabia ya kudharauliana.Pale TFF hatopata ushirikiano mkubwa kwa kuwa bado sijaona kama TFF ina mipango thabiti ksa hiyo huenda akawa na mawazo mazuri ila yakapuuzwa Ila angekuja wa kutoka nje hasa mzungu basi angepewa kipaumbele
Anajua kulamba matako ya MsomaliHuyu si alichemka tuliandaa Afcon under 17 tukaambulia vipigo vya mbwa koko, leo kawa Mkurugenzi??
Ufundi inajumuisha na mambo ya utamaduni? Samahani lakini
Pamoja na timu kuwa na under 17 Yeye Mirambo anajukumu la kuzimonitor academy zote ili kuwe na mpira wa kitanzania.haiwezekeni Kila academy iwe na falasafa yake badala yake yeye atateua staili ya kucheza ya kitanzania.
TD huyu ndio wa kulibeba soka ,kama huyu atakua hana mipango basi soka litabaki kuwa la hovyoMkurugenzi wa ufundi ndicho cheo Cha juu kwa upande wa utaalamu wa mpira ndiye bosi wa makocha wote kuanzia timu za taifa wanawake, vijana Hadi timu ya wanaume kitaifa pia anaandaa program mbalimbali zikuwemo mafunzo ya makocha ligi mbalimbali lakini tatizo la tff badala ya kutangaza nafasi hizo Kama ilivyo nafasi ya katibu mkuu ili watu wenye sifa wajitokeze wamekuwa wakipeana nafasi hizo kiushikaji