Mkurugenzi wa ufundi Tanzania

Mkurugenzi wa ufundi Tanzania

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
3,267
Reaction score
4,634
Oscar Mirambo rasmi ndiye mkurugenzi wa ufundi atahusika na timu ya taifa zote za vijana na wakubwa,wakike na kiume.

Ana kazi ya kuandaa sera za mpira wa Tanzania na kutoa mwongozo wa namna soka letu liwe ili iwe faida kwetu.Ana ujuzi katika menejiment na ukocha pia.

Je,unaonaje maamuzi haya ya TFF?
 
Kwani wewe unaonaje bro?
 
Tz tunakwama sana...kwa namna hii hakuna tutakaloambulia. Yule Kim polsean alifaa sana kuwa mkurugenzi wa ufundi...maana tayati alishashiriki baadhi ya program ambazo alizianzisha na zikawa zinatekelezwa na huyo mirambo...kwangu Mimi nadhani nafasi hiyo angepewa mzungu...

Sina maana waswahili hawawezi..but ule umakini kwetu hakuna..alafu pia kuthaminiwa hakupo...huyo. Mirambo anaweza omba apewe pesa kwa ajili ya miradi ya maendeleo akashia kupigwa kalenda...
 
Kwani wewe unaonaje bro?
Mi naona hawezi kwa kuwa Watanzania hasa kwenye utaalamu tuna tabia ya kudharauliana.Pale TFF hatopata ushirikiano mkubwa kwa kuwa bado sijaona kama TFF ina mipango thabiti ksa hiyo huenda akawa na mawazo mazuri ila yakapuuzwa Ila angekuja wa kutoka nje hasa mzungu basi angepewa kipaumbele
 
hivi Tanzania kuna ligi za vijana ya under 18 ?

bila kuwa na academy za kizalisha wachezaji kwa kila team ya ligi kuu soka letu haliwezi kukua
Pamoja na timu kuwa na under 17 Yeye Mirambo anajukumu la kuzimonitor academy zote ili kuwe na mpira wa kitanzania.haiwezekeni Kila academy iwe na falasafa yake badala yake yeye atateua staili ya kucheza ya kitanzania.
 
Tz tunakwama sana...kwa namna hii hakuna tutakaloambulia. Yule Kim polsean alifaa sana kuwa mkurugenzi wa ufundi...maana tayati alishashiriki baadhi ya program ambazo alizianzisha na zikawa zinatekelezwa na huyo mirambo...kwangu Mimi nadhani nafasi hiyo angepewa mzungu...

Sina maana waswahili hawawezi..but ule umakini kwetu hakuna..alafu pia kuthaminiwa hakupo...huyo. Mirambo anaweza omba apewe pesa kwa ajili ya miradi ya maendeleo akashia kupigwa kalenda...
Kim alikuwa powa ila hata angepatikana mwingine kutoka ulaya mwenye weledi ingekuwa powa
 
Ndo huyo ndugu.Mi naon kama wamekurupuka.Nafasi hii ni nyeti sana naninahitaji utaalamu kumpata mtaalamu.
Huyu si alichemka tuliandaa Afcon under 17 tukaambulia vipigo vya mbwa koko, leo kawa Mkurugenzi??
 
Mi naona hawezi kwa kuwa Watanzania hasa kwenye utaalamu tuna tabia ya kudharauliana.Pale TFF hatopata ushirikiano mkubwa kwa kuwa bado sijaona kama TFF ina mipango thabiti ksa hiyo huenda akawa na mawazo mazuri ila yakapuuzwa Ila angekuja wa kutoka nje hasa mzungu basi angepewa kipaumbele

Tff ni sehemu ambayo watu wanaenda wanapiga pesa wanapita hivi.

........habari za kuendeleza soka na blah! Blah! nyingine mnajua wenyewe.
 
Ufundi inajumuisha na mambo ya utamaduni? Samahani lakini
 
Mkurugenzi wa ufundi ndicho cheo Cha juu kwa upande wa utaalamu wa mpira ndiye bosi wa makocha wote kuanzia timu za taifa wanawake, vijana Hadi timu ya wanaume kitaifa pia anaandaa program mbalimbali zikuwemo mafunzo ya makocha ligi mbalimbali lakini tatizo la tff badala ya kutangaza nafasi hizo Kama ilivyo nafasi ya katibu mkuu ili watu wenye sifa wajitokeze wamekuwa wakipeana nafasi hizo kiushikaji
 
Hapana inajumuisha yale ya artificial science achana natural science au supernatural
Ila unaambiwa mwafrica haachani na dini yake ya asili kwa hiyo uganga na ulozi utakuwepo kama kawa[emoji2][emoji2]
Ufundi inajumuisha na mambo ya utamaduni? Samahani lakini
 
Pamoja na timu kuwa na under 17 Yeye Mirambo anajukumu la kuzimonitor academy zote ili kuwe na mpira wa kitanzania.haiwezekeni Kila academy iwe na falasafa yake badala yake yeye atateua staili ya kucheza ya kitanzania.
Mkurugenzi wa ufundi ndicho cheo Cha juu kwa upande wa utaalamu wa mpira ndiye bosi wa makocha wote kuanzia timu za taifa wanawake, vijana Hadi timu ya wanaume kitaifa pia anaandaa program mbalimbali zikuwemo mafunzo ya makocha ligi mbalimbali lakini tatizo la tff badala ya kutangaza nafasi hizo Kama ilivyo nafasi ya katibu mkuu ili watu wenye sifa wajitokeze wamekuwa wakipeana nafasi hizo kiushikaji
TD huyu ndio wa kulibeba soka ,kama huyu atakua hana mipango basi soka litabaki kuwa la hovyo
 
Cv yake kwenye mpira wa miguu imejaa Vicertificate tu vingiii, hajawahi kuwa mchezaji wa mpira wa miguu kwa kiwango cha kutambulika, hana uzoefu wowote ule wa maana kwenye soka la bongo

(Ushahidi ni pale alipokabidhiwa timu ya U 17 iliyokuwa mwenyeji wa Afcon)!
zaidi tu ya kutembelea nyota ya Kim Poulsen na Bakary Shime; halafu ndiyo awe Mkurugenzi wa Ufundi?

Ngoja tuyaone hayo maajabu atakayo tuletea. Naona Karia anarudia madudu yale yale ya Jamal Malinzi. Ni mwendo wa kubebana tu na kuzitafuna hela za wavuja jasho wa mpira.
 
Back
Top Bottom