Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

Hiyo Approve au leseni inatolewa kila mwaka Kama za biashara halmashauri?msimu ulipita Nabi akiwa ndio ameingia aliiongoza Yanga dhidi ya Riverplates ya Nigeria mechi zote mbili.
Ufafanuzi please
Unaambiwa licence nayo ina expire, mtu kuwa na valid license haina maana itakuwa na life span ya milele
 
Wewe jamaa utakuwa ni punga,huna kazi na una stress.
Wewe Punguani wa Akili hii mada kama huelewi fahamu ipo nje uwezo wako.

Hilo tusi la kikoloni halinisumbui hata kidogo, isipokuwa nakuonya tu kuwa kama unataka vita huwa sirudi nyuma.

Kazi anayo huyo anaye kupelekeaga moto...!
 
"Sisi tuna watu"
Sasa hao watu wamemjaza mchambuzi uchwara wamemzalilisha anaishia kutunga stort za kuwa offline.

Mtangazaji wa habari za michezo unajizima data kichwani alafu unasingizia simu iko offline hujapata mail 😂
 
Ingekuwa habari uchwara usingeweza kusikia kauli kutoka kwenye uongozi wa TFF ukithibitisha madai ya Jemedari
 
Binti Kazumari ni nani kiasi kwamba taarifa za taasisi anapewa yeye? TFF walishindwa kutoa press release ?
 
Kila kocha lazima awe approved kwanza. Hata wachezaji. Hata Daktari wa timu.
Kusubiri approval kila kocha alisubiri approval at a certain time.
Ila Yanga inahitaji CEO mbobezi haraka sana.
 
Binti Kazumari ni nani kiasi kwamba taarifa za taasisi anapewa yeye? TFF walishindwa kutoa press release ?
Press release ndio nini?

Kwakua nyinyi mlifanya press kuwatisha marefa mnataka iwe hivyo hivyo na sehemu nyingine?

Unafikiri kwenye taasisi kubwa kila kitu ni cha kukiwekea press kama nyinyi?
 
Kila kocha lazima awe approved kwanza. Hata wachezaji. Hata Daktari wa timu.
Kusubiri approval kila kocha alisubiri approval at a certain time.
Ila Yanga inahitaji CEO mbobezi haraka sana.
Vigezo vinakaba wanashindwa kumpata mtu sahihi kiweledi kwasababu priority haipo kwenye taaluma wana demand awe mwanachama wa Yanga
 
Uyo mkurugenzi wa Tff na Bin Kazumari wote ndio walewale, Kocha ana Leseni ya UEFA pro daraja A akasubiri uthibitisho wa CAf!! Leseni Ipo valid mbaka 2023 na mwaka Jana alikuwepo kwenye Bench akisimamia timu kwenye mashindano ya CAf champion league!!
Tff na Bin Kazumari endeleeni na futuhi zenu ila watu walisha wadharau.
 
Kila kocha lazima awe approved kwanza. Hata wachezaji. Hata Daktari wa timu.
Kusubiri approval kila kocha alisubiri approval at a certain time.
Ila Yanga inahitaji CEO mbobezi haraka sana.
Kwani Yanga ime anza leo kucheza huko CAF ? ni mwaka gani coach wa Yanga alikaa jukwaani?
 
Press release ndio nini?

Kwakua nyinyi mlifanya press kuwatisha marefa mnataka iwe hivyo hivyo na sehemu nyingine?

Unafikiri kwenye taasisi kubwa kila kitu ni cha kukiwekea press kama nyinyi?
Wewe mbwiga elewa tofauti ya press release na press
 
Kama mtu anajielewa na ana Heshima zako ni dhambi kubwa kubadilishana mawazo na Shabiki wa Simba au yanga mwenye mtizamo kama huyu. Kuwa Shabiki tu wa Simba au Yanga bila kuwa "Objective" ni kujivua nguo. Mkuu Capital G naomba uyapokee mawazo yangu kwa unyekevu.
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…