Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Unataka kumjua ili iweje?Alitumiwa na nani
Unataka kuhamasisha wana Yanga wafanye maandamano wakampige huyo ripota?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumjua ili iweje?Alitumiwa na nani
Sanaaamashabiki wa simba wana hasira na Kocha Nabi kweri-kweri kama ambavyo wanahasira na Mayele [emoji851]
Unaambiwa licence nayo ina expire, mtu kuwa na valid license haina maana itakuwa na life span ya mileleHiyo Approve au leseni inatolewa kila mwaka Kama za biashara halmashauri?msimu ulipita Nabi akiwa ndio ameingia aliiongoza Yanga dhidi ya Riverplates ya Nigeria mechi zote mbili.
Ufafanuzi please
Maana hamkawii, kama mlitaka kuandamana kwa Samia kwenye jambo lile, mngeshindwaje hapa?Mavi yako
Manara kawashikia akili wanayanga wote analosema wao wanaamini ndiyo sheria.Maana hamkawii, kama mlitaka kuandamana kwa Samia kwenye jambo lile, mngeshindwaje hapa?
Au mnamsikilizia Manara awape go ahead?
Wewe Punguani wa Akili hii mada kama huelewi fahamu ipo nje uwezo wako.Wewe jamaa utakuwa ni punga,huna kazi na una stress.
Sasa hao watu wamemjaza mchambuzi uchwara wamemzalilisha anaishia kutunga stort za kuwa offline."Sisi tuna watu"
Manara akisema ndio, mashabiki wa Yanga wao ni nani mpaka waseme hapana?Manara kawashikia akili wanayanga wote analosema wao wanaamini ndiyo sheria.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ingekuwa habari uchwara usingeweza kusikia kauli kutoka kwenye uongozi wa TFF ukithibitisha madai ya JemedariSasa hao watu wamemjaza mchambuzi uchwara wamemzalilisha anaishia kutunga stort za kuwa offline.
Mtangazaji wa habari za michezo unajizima data kichwani alafu unasingizia simu iko offline hujapata mail 😂
Too lateIngekuwa habari uchwara usingeweza kusikia kauli kutoka kwenye uongozi wa TFF ukithibitisha madai ya Jemedari
Too late doesn't change the factToo late
Binti Kazumari ni nani kiasi kwamba taarifa za taasisi anapewa yeye? TFF walishindwa kutoa press release ?Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi
Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Press release ndio nini?Binti Kazumari ni nani kiasi kwamba taarifa za taasisi anapewa yeye? TFF walishindwa kutoa press release ?
Vigezo vinakaba wanashindwa kumpata mtu sahihi kiweledi kwasababu priority haipo kwenye taaluma wana demand awe mwanachama wa YangaKila kocha lazima awe approved kwanza. Hata wachezaji. Hata Daktari wa timu.
Kusubiri approval kila kocha alisubiri approval at a certain time.
Ila Yanga inahitaji CEO mbobezi haraka sana.
Kwani Yanga ime anza leo kucheza huko CAF ? ni mwaka gani coach wa Yanga alikaa jukwaani?Kila kocha lazima awe approved kwanza. Hata wachezaji. Hata Daktari wa timu.
Kusubiri approval kila kocha alisubiri approval at a certain time.
Ila Yanga inahitaji CEO mbobezi haraka sana.
Wewe mbwiga elewa tofauti ya press release na pressPress release ndio nini?
Kwakua nyinyi mlifanya press kuwatisha marefa mnataka iwe hivyo hivyo na sehemu nyingine?
Unafikiri kwenye taasisi kubwa kila kitu ni cha kukiwekea press kama nyinyi?
Kama mtu anajielewa na ana Heshima zako ni dhambi kubwa kubadilishana mawazo na Shabiki wa Simba au yanga mwenye mtizamo kama huyu. Kuwa Shabiki tu wa Simba au Yanga bila kuwa "Objective" ni kujivua nguo. Mkuu Capital G naomba uyapokee mawazo yangu kwa unyekevu.TFF hii ya Simba, lazima watoe ufafanuzi kila jambo linalogusa Yanga ukubali ukatae ndio ukweli 😂, kiufupi ni kuwa TFF pale hakuna la maana wanaloweza kufanya zaidi ya kudidimiza tu mpira wa bongo, na hakuna la maana watafanya huu uongozi wa Karia, ukweli mchungu
Amebaki uchi kiherehere imemponza tunamkwepa hatutaki kusikiliza ufafanuzi wake,Too late doesn't change the fact