Mwakitwange uwe unaelewa unacho isoma na ndio maana nimekuuliza wafanye yote hayo ili iweje?Wewe mbwiga elewa tofauti ya press release na press
Watu waku reason wataanza kufikiria kauli ya kiongozi wa TFF ambayo inaunga mkono madai ya JemedariAmebaki uchi kiherehere imemponza tunamkwepa hatutaki kusikiliza ufafanuzi wake,
Nabi alikuwepo kwenye benchi full stop, hayo mambo ya kuzima data na kuwa offline akawasimulie watu wasio na uwezo wa ku-reason.
Ni makolo na mambumbumbu pekee ambao wanaamini Nabi angezuiwaNi Sunday na JK pekee yao ndo wenye akili, ambao wasingeweza kuleta upoyoyo wa kukataa kuwa Nabi alikuwa anasubiri ruhusa Approval ya CAF.
Wengine nyie hamnazo ndo maana hamukuweza kung'amua hili.
Hakuna kiongozi waTff ambaye anaweza kusema jambo aka aminika kwasasa kwakua virusi vimetapakaa ndani ya Tff na mmoja wa Chawa wa Tff ni Bin Kazumari.Watu waku reason wataanza kufikiria kauli ya kiongozi wa TFF ambayo inaunga mkono madai ya Jemedari
Nimeyapokea mkuu asante sanaKama mtu anajielewa na ana Heshima zako ni dhambi kubwa kubadilishana mawazo na Shabiki wa Simba au yanga mwenye mtizamo kama huyu. Kuwa Shabiki tu wa Simba au Yanga bila kuwa "Objective" ni kujivua nguo. Mkuu Capital G naomba uyapokee mawazo yangu kwa unyekevu.
Ahsante
Hakuna kiongozi wa TFF anayeaminika au hakuna kiongozi wa TFF anaye aminika na wana Yanga?Hakuna kiongozi waTff ambaye anaweza kusema jambo aka aminika kwasasa kwakua virusi vimetapakaa ndani ya Tff na mmoja wa Chawa wa Tff ni Bin Kazumari.
Tff kume jaa ubabaishaji na uhuni mwingi.
Angalia Taasisi inavyo pelekeshwa na Haji Manara, yaani Haji anawavua nguo Tff.
Haji anaweza aka anzisha jambo lake uko mitandaoni akijua Tff watakurupuka na kweli katibu wa Tff anajikuta anajibu mambo hovyo, mengine yanatakiwa kamati zitolee maamuzi yeye tayari kashakurupuka kashatolea maamuzi na mihuri ya ofisi inatumika bila kujali ni mawazo yake binafsi.
Haji akitekenya ata usiku wa mane mtu usiku uouo anakulupuka.
Hakuna kiongozi wa TFF anayeweza kuaminika kwa vile mambo yamegeuka.Hakuna kiongozi waTff ambaye anaweza kusema jambo aka aminika kwasasa kwakua virusi vimetapakaa ndani ya Tff na mmoja wa Chawa wa Tff ni Bin Kazumari.
Tff kume jaa ubabaishaji na uhuni mwingi.
Angalia Taasisi inavyo pelekeshwa na Haji Manara, yaani Haji anawavua nguo Tff.
Haji anaweza aka anzisha jambo lake uko mitandaoni akijua Tff watakurupuka na kweli katibu wa Tff anajikuta anajibu mambo hovyo, mengine yanatakiwa kamati zitolee maamuzi yeye tayari kashakurupuka kashatolea maamuzi na mihuri ya ofisi inatumika bila kujali ni mawazo yake binafsi.
Haji akitekenya ata usiku wa mane mtu usiku uouo anakulupuka.
Too lateWatu waku reason wataanza kufikiria kauli ya kiongozi wa TFF ambayo inaunga mkono madai ya Jemedari
Mbona issue ya Mgunda walitoa press releaseMwakitwange uwe unaelewa unacho isoma na ndio maana nimekuuliza wafanye yote hayo ili iweje?
Kuwafurahisha wajinga wachache halafu mwisho wa siku waanze kusema "kulikuwa na haja gani ya kujibu kwa haraka"
Huu ni uthibitisho wa Mkurungenzi wa Ufundi wa TFF. Au hujui kazi ya
Jamaa wana tantalila nyingi tuu hawa.Uyo mkurugenzi wa Tff na Bin Kazumari wote ndio walewale, Kocha ana Leseni ya UEFA pro daraja A akasubiri uthibitisho wa CAf!! Leseni Ipo valid mbaka 2023 na mwaka Jana alikuwepo kwenye Bench akisimamia timu kwenye mashindano ya CAf champion league!!
Tff na Bin Kazumari endeleeni na futuhi zenu ila watu walisha wadharau.
Sina mda wa kufanya vita na mapunga.Wewe Punguani wa Akili hii mada kama huelewi fahamu ipo nje uwezo wako.
Hilo tusi la kikoloni halinisumbui hata kidogo, isipokuwa nakuonya tu kuwa kama unataka vita huwa sirudi nyuma.
Kazi anayo huyo anaye kupelekeaga moto...!
Msemaji wa TFF ni nani? Nini kazi ya Afisa habari?Huu ni uthibitisho wa Mkurungenzi wa Ufundi wa TFF. Au hujui kazi ya
Mkurungenzi wa Ufundi pale TFF
Mbona kama hujaelewa kusudio lake na unapuyanga tu..!
Kama huyu mkurugenzi ndio kabisaaa, kwanza timu akipewa zinambumia tuu.Jamaa wana tantalila nyingi tuu hawa.
Siyo tantalila ni roho mbaya, juzi Simba na Yanga zote zimeshinda international games lakini cha ajabu ni watu wa Simba ndio walikuwa hawana furaha.Jamaa wana tantalila nyingi tuu hawa.
Msitegemee maendeleo ya Mpira kutoka Kwa hiki kikundi cha wahuni.Kama huyu mkurugenzi ndio kabisaaa, kwanza timu akipewa zinambumia tuu.
Amehojiwa kwa kuwa yeye ni mkurungenzi wa ufundi TFF, kwani hoja si kweli ambalo amesema au kwa kuwa si Afisa Habari?