Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

Wewe mbwiga elewa tofauti ya press release na press
Mwakitwange uwe unaelewa unacho isoma na ndio maana nimekuuliza wafanye yote hayo ili iweje?

Kuwafurahisha wajinga wachache halafu mwisho wa siku waanze kusema "kulikuwa na haja gani ya kujibu kwa haraka"
 
Amebaki uchi kiherehere imemponza tunamkwepa hatutaki kusikiliza ufafanuzi wake,
Nabi alikuwepo kwenye benchi full stop, hayo mambo ya kuzima data na kuwa offline akawasimulie watu wasio na uwezo wa ku-reason.
Watu waku reason wataanza kufikiria kauli ya kiongozi wa TFF ambayo inaunga mkono madai ya Jemedari
 
Ni Sunday na JK pekee yao ndo wenye akili, ambao wasingeweza kuleta upoyoyo wa kukataa kuwa Nabi alikuwa anasubiri ruhusa Approval ya CAF.

Wengine nyie hamnazo ndo maana hamukuweza kung'amua hili.
Ni makolo na mambumbumbu pekee ambao wanaamini Nabi angezuiwa
 
Watu waku reason wataanza kufikiria kauli ya kiongozi wa TFF ambayo inaunga mkono madai ya Jemedari
Hakuna kiongozi waTff ambaye anaweza kusema jambo aka aminika kwasasa kwakua virusi vimetapakaa ndani ya Tff na mmoja wa Chawa wa Tff ni Bin Kazumari.
Tff kume jaa ubabaishaji na uhuni mwingi.
Angalia Taasisi inavyo pelekeshwa na Haji Manara, yaani Haji anawavua nguo Tff.

Haji anaweza aka anzisha jambo lake uko mitandaoni akijua Tff watakurupuka na kweli katibu wa Tff anajikuta anajibu mambo hovyo, mengine yanatakiwa kamati zitolee maamuzi yeye tayari kashakurupuka kashatolea maamuzi na mihuri ya ofisi inatumika bila kujali ni mawazo yake binafsi.
Haji akitekenya ata usiku wa manane mtu usiku uouo anakulupuka.
 
Kama mtu anajielewa na ana Heshima zako ni dhambi kubwa kubadilishana mawazo na Shabiki wa Simba au yanga mwenye mtizamo kama huyu. Kuwa Shabiki tu wa Simba au Yanga bila kuwa "Objective" ni kujivua nguo. Mkuu Capital G naomba uyapokee mawazo yangu kwa unyekevu.
Ahsante
Nimeyapokea mkuu asante sana
 
Hakuna kiongozi waTff ambaye anaweza kusema jambo aka aminika kwasasa kwakua virusi vimetapakaa ndani ya Tff na mmoja wa Chawa wa Tff ni Bin Kazumari.
Tff kume jaa ubabaishaji na uhuni mwingi.
Angalia Taasisi inavyo pelekeshwa na Haji Manara, yaani Haji anawavua nguo Tff.

Haji anaweza aka anzisha jambo lake uko mitandaoni akijua Tff watakurupuka na kweli katibu wa Tff anajikuta anajibu mambo hovyo, mengine yanatakiwa kamati zitolee maamuzi yeye tayari kashakurupuka kashatolea maamuzi na mihuri ya ofisi inatumika bila kujali ni mawazo yake binafsi.
Haji akitekenya ata usiku wa mane mtu usiku uouo anakulupuka.
Hakuna kiongozi wa TFF anayeaminika au hakuna kiongozi wa TFF anaye aminika na wana Yanga?

Ebu niambie kabla ya Manara kufungiwa nikumbushe ni lini mliwahi kusema hama imani na uongozi wa TFF?

Nikisema Manara ame swap bifu lake yeye na TFF kuwahusisha na nyie nitakuwa nakosea?
 
Hakuna kiongozi waTff ambaye anaweza kusema jambo aka aminika kwasasa kwakua virusi vimetapakaa ndani ya Tff na mmoja wa Chawa wa Tff ni Bin Kazumari.
Tff kume jaa ubabaishaji na uhuni mwingi.
Angalia Taasisi inavyo pelekeshwa na Haji Manara, yaani Haji anawavua nguo Tff.

Haji anaweza aka anzisha jambo lake uko mitandaoni akijua Tff watakurupuka na kweli katibu wa Tff anajikuta anajibu mambo hovyo, mengine yanatakiwa kamati zitolee maamuzi yeye tayari kashakurupuka kashatolea maamuzi na mihuri ya ofisi inatumika bila kujali ni mawazo yake binafsi.
Haji akitekenya ata usiku wa mane mtu usiku uouo anakulupuka.
Hakuna kiongozi wa TFF anayeweza kuaminika kwa vile mambo yamegeuka.

Mlikuwa kimya kabisa kipindi kile tunasema kuwa TFF kuna mambo haendi sawa hasa ule mkataba wa Siri kati ya GSM na TFF.
 
Mwakitwange uwe unaelewa unacho isoma na ndio maana nimekuuliza wafanye yote hayo ili iweje?

Kuwafurahisha wajinga wachache halafu mwisho wa siku waanze kusema "kulikuwa na haja gani ya kujibu kwa haraka"
Mbona issue ya Mgunda walitoa press release
 
Thread hii kupitia Scars na Ghazwat imenithibitishia Maneno ya Rage Simba ni mambumbumbu.

Yani taarifa rasmi za TFF uambiwe na binti Kazumari inahitaji kujizima data ili kuwaelewa hawa mbumbumbu Wawili.
Huu ni uthibitisho wa Mkurungenzi wa Ufundi wa TFF. Au hujui kazi ya
Mkurungenzi wa Ufundi pale TFF

Mbona kama hujaelewa kusudio lake na unapuyanga tu..!
 
Uyo mkurugenzi wa Tff na Bin Kazumari wote ndio walewale, Kocha ana Leseni ya UEFA pro daraja A akasubiri uthibitisho wa CAf!! Leseni Ipo valid mbaka 2023 na mwaka Jana alikuwepo kwenye Bench akisimamia timu kwenye mashindano ya CAf champion league!!
Tff na Bin Kazumari endeleeni na futuhi zenu ila watu walisha wadharau.
Jamaa wana tantalila nyingi tuu hawa.
 
Wewe Punguani wa Akili hii mada kama huelewi fahamu ipo nje uwezo wako.

Hilo tusi la kikoloni halinisumbui hata kidogo, isipokuwa nakuonya tu kuwa kama unataka vita huwa sirudi nyuma.

Kazi anayo huyo anaye kupelekeaga moto...!
Sina mda wa kufanya vita na mapunga.
 
Huu ni uthibitisho wa Mkurungenzi wa Ufundi wa TFF. Au hujui kazi ya
Mkurungenzi wa Ufundi pale TFF

Mbona kama hujaelewa kusudio lake na unapuyanga tu..!
Msemaji wa TFF ni nani? Nini kazi ya Afisa habari?
 
IMG_20220912_092410_055.jpg
 
Jamaa wana tantalila nyingi tuu hawa.
Siyo tantalila ni roho mbaya, juzi Simba na Yanga zote zimeshinda international games lakini cha ajabu ni watu wa Simba ndio walikuwa hawana furaha.

Niliweka msimamo kuiunga mkono Simba kimataifa kumbe ukweli haupo hivyo wacha tuendelee kuzomeana tu, nimeona wazi wazi watu wa Simba wakichukia Yanga kushinda, Sasa Mayele ana mkataba wa miaka miwili si watakonda sana hawa mbumbumbu?
 
Msemaji wa TFF ni nani? Nini kazi ya Afisa habari?
Amehojiwa kwa kuwa yeye ni mkurungenzi wa ufundi TFF, kwani hoja si kweli ambalo amesema au kwa kuwa si Afisa Habari?
 
Back
Top Bottom