Nyie vitoga huwa hamkosagi chakuongea ulitaka TFF itoe taarifa kana kwamba ndio ungekubali?
Anakuwa approved kila msimu?Kila kocha lazima awe approved kwanza. Hata wachezaji. Hata Daktari wa timu.
Kusubiri approval kila kocha alisubiri approval at a certain time.
Ila Yanga inahitaji CEO mbobezi haraka sana.
Huko Yanga yamejaa mapooza tupuNyie vitoga huwa hamkosagi chakuongea ulitaka TFF itoe taarifa kana kwamba ndio ungekubali?
At the same time kuna mwenzako hapo juu kasema hakuna kitu TFF itasema ikaaminika
Ni ajabu sana kuona watu wasioiamini TFF kukuta wanataka kuisikia tena TFF itolee ufafanuzi wa jambo fulani
Kuonesha kweli kuwa nyinyi hamna imani na TFF ebu angalia kupitia hiyo kauli ya kongozi wa TFF ku confirm madai ya Jemedari. Bado haijatosha kuwafanya Yanga wakubaliane licha ya kwamba imetolewa kutoka kwenye chanzo ambacho wewe ulipenda kuona kimekuwa cha kwanza kuripoti jambo hilo
Waliona kuna sababu ya wao kutoa taarifa kwa muda uleMbona issue ya Mgunda walitoa press release
Hivi hata aibu huna? No wonder yule demu wa Mwamedi anawapelekesha apendavyo.Waliona kuna sababu ya wao kutoa taarifa kwa muda ule
Huwenda walijua ni jambo ambalo lingechukua muda kwa Mgunda kuwa approved kuliko swala la Nabi na ndio maana wakaona watoe taarifa ya Mgunda pekee kwasababu Nabi ana asilimia kubwa ya kukamilishiwa idhini
Aibu ya nini kwani naishi ukweni?Hivi hata aibu huna? No wonder yule demu wa Mwamedi anawapelekesha apendavyo.
Taarifa zinasema alikaa kimakosaHiyo Approve au leseni inatolewa kila mwaka Kama za biashara halmashauri?msimu ulipita Nabi akiwa ndio ameingia aliiongoza Yanga dhidi ya Riverplates ya Nigeria mechi zote mbili.
Ufafanuzi please
Unprofessional ndio hiyo sasa kwanini mwajiliwa unatoa uvujishe taarifa za taasisi kama ungekua mwajiliwa wangu "your fired on the spot"Kama muandishi wa habari za michezo
Alishawahi kuwa na uongozi hapo TFF, ye kama mwana habari bado anaweza kupenyezewa habari za mapema kutoka kwa wahusika wa ndani kabla ya habari kuwa officia announced
Hawezi kuchutama, huwa anadunda zake hana habari..We si ulisema kuwa hii taarifa haiwezi kuwa na kweli hata kidogo, isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance sorry ya Mgunda.
Mkuu..Unatakiwa uchutame sasa, umeshavuliwa nguo yaani..!
Hivi hata kama una akili za matakoni huwezi kufikiti kuwa huyo nabi mwska jama kwrnye michezi kama hiyo alikuwa benchi,kwa cheti kipi?Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Mohamed Nabi alikuwa anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kukaa kwenye benchi la Yanga SC mpaka ilipokuja idhini muda mchache kabla ya mpira kuanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Na mme wake!Alitumiwa na nani
Hoja hizo mbovu na mfu zimeshajibiwa hapo juu, na wengine wakaelewa na wakakaa kimya, Usiwe mpumbavuHivi hata kama una akili za matakoni huwezi kufikiti kuwa huyo nabi mwska jama kwrnye michezi kama hiyo alikuwa benchi,kwa cheti kipi?
Kwanza huyu bwana Kazumari mbona anatusumbua sana.....Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi
Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Anajisumbua mwenyeweKwanza huyu bwana Kazumari mbona anatusumbua sana.....
Ila kwa ujuaji sasa....Anajisumbua mwenyewe