Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF athibitisha Kocha Nabi alikuwa anasubiri idhini (Approved) ya CAF

Thread hii kupitia Scars na Ghazwat imenithibitishia Maneno ya Rage Simba ni mambumbumbu.

Yani taarifa rasmi za TFF uambiwe na binti Kazumari inahitaji kujizima data ili kuwaelewa hawa mbumbumbu Wawili.
Nyie vitoga huwa hamkosagi chakuongea ulitaka TFF itoe taarifa kana kwamba ndio ungekubali?

At the same time kuna mwenzako hapo juu kasema hakuna kitu TFF itasema ikaaminika

Ni ajabu sana kuona watu wasioiamini TFF kukuta wanataka kuisikia tena TFF itolee ufafanuzi wa jambo fulani

Kuonesha kweli kuwa nyinyi hamna imani na TFF ebu angalia kupitia hiyo kauli ya kongozi wa TFF ku confirm madai ya Jemedari. Bado haijatosha kuwafanya Yanga wakubaliane licha ya kwamba imetolewa kutoka kwenye chanzo ambacho wewe ulipenda kuona kimekuwa cha kwanza kuripoti jambo hilo
 
Kila kocha lazima awe approved kwanza. Hata wachezaji. Hata Daktari wa timu.
Kusubiri approval kila kocha alisubiri approval at a certain time.
Ila Yanga inahitaji CEO mbobezi haraka sana.
Anakuwa approved kila msimu?
 
Nyie vitoga huwa hamkosagi chakuongea ulitaka TFF itoe taarifa kana kwamba ndio ungekubali?

At the same time kuna mwenzako hapo juu kasema hakuna kitu TFF itasema ikaaminika

Ni ajabu sana kuona watu wasioiamini TFF kukuta wanataka kuisikia tena TFF itolee ufafanuzi wa jambo fulani

Kuonesha kweli kuwa nyinyi hamna imani na TFF ebu angalia kupitia hiyo kauli ya kongozi wa TFF ku confirm madai ya Jemedari. Bado haijatosha kuwafanya Yanga wakubaliane licha ya kwamba imetolewa kutoka kwenye chanzo ambacho wewe ulipenda kuona kimekuwa cha kwanza kuripoti jambo hilo
Huko Yanga yamejaa mapooza tupu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbona issue ya Mgunda walitoa press release
Waliona kuna sababu ya wao kutoa taarifa kwa muda ule

Huwenda walijua ni jambo ambalo lingechukua muda kwa Mgunda kuwa approved kuliko swala la Nabi na ndio maana wakaona watoe taarifa ya Mgunda pekee kwasababu Nabi ana asilimia kubwa ya kukamilishiwa idhini
 
Hivi hata aibu huna? No wonder yule demu wa Mwamedi anawapelekesha apendavyo.
 
Kama muandishi wa habari za michezo

Alishawahi kuwa na uongozi hapo TFF, ye kama mwana habari bado anaweza kupenyezewa habari za mapema kutoka kwa wahusika wa ndani kabla ya habari kuwa officia announced
Unprofessional ndio hiyo sasa kwanini mwajiliwa unatoa uvujishe taarifa za taasisi kama ungekua mwajiliwa wangu "your fired on the spot"
 
We si ulisema kuwa hii taarifa haiwezi kuwa na kweli hata kidogo, isipokuwa imeletwa tu humu ili kubalance sorry ya Mgunda.

Mkuu..Unatakiwa uchutame sasa, umeshavuliwa nguo yaani..!
Hawezi kuchutama, huwa anadunda zake hana habari..
 
Akihojiwa na kituo cha Radio cha EFM kupitia kipindi cha Sports HQ mapema leo September 12, 2022 Mkurungenzi wa ufundi wa TFF, Oscar Milambo amethibitisha kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Mohamed Nabi alikuwa anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kukaa kwenye benchi la Yanga SC mpaka ilipokuja idhini muda mchache kabla ya mpira kuanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Hivi hata kama una akili za matakoni huwezi kufikiti kuwa huyo nabi mwska jama kwrnye michezi kama hiyo alikuwa benchi,kwa cheti kipi?
 
Hivi hata kama una akili za matakoni huwezi kufikiti kuwa huyo nabi mwska jama kwrnye michezi kama hiyo alikuwa benchi,kwa cheti kipi?
Hoja hizo mbovu na mfu zimeshajibiwa hapo juu, na wengine wakaelewa na wakakaa kimya, Usiwe mpumbavu

Hata Kocha Gomez da Rosa wa Simba SC yalimkuta alikaa benchi kwenye michuano ya CAF, baadaye ikaja taarifa kuwa hana vigezo vya kukaa benchini.

Acheni kuvamia mambo ambayo kwako ni mazito kuelewa..!
 
Jemedari amesema alitumiwa ujumbe kwenye email muda mfupi tu baada ya Nabi kupewa approval kabla hajaonekana benchi

Ila kwa bahati mbaya hakuweza kuusoma huo ujumbe alikuwa offline, alipokuja kumuona Nabi akiwa benchi akafungua email akakuta ujumbe wa update kuonesha Nabi amepewa approval ila ikawa too late kwasababu tayari kila mmoja alishamuona benchi
Kwanza huyu bwana Kazumari mbona anatusumbua sana.....
 
Back
Top Bottom