Mkurugenzi wa VODACOM, TIGO, ZANTEL, TTCL, AIRTEL pitieni hapa, huwenda kukawa kuna faida kwenu

Wazo ni zuri, lakini ili liwe na ufanisi kuwe na mtu wa kati ambaye kazi yake itaakuwa akuwaunganisha muuzaji na mnunuzi, huyu mtu wa kati atatengeneza regulations zitakazo linda pande zote mbili, pia atahold fedha mpaka muuzaji atakapo tuma mzigo kikamilifu na mnunuzi atakapo pokea mzigo ukiwa sawa.

Huyu midle atapata cammision tu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ukijibiwa naomba unitag kiongozi
 
Hata mimi hili wazo la escrow account nilitaka kulifanya mimi ila nilikuwa nawaza vibali nitapewa. Wenzetu kenya wana makampuni binafsi wanafanya hii kitu.

wanakupa hadi code ya kuintergrate na online shop yao. Mfano mtu kapenda kitu analipia, muuzaji anaona kuwa mzigo umelipiwa pesa anaiona lakini iko kwenye escrow account, mzigo ukimfikia mteja ataruhusu pesa iende kwa muuzaji aitoe. Kama akisema mzigo haujafika, pesa hairudi kwa muuzaji bali kinachotokea ni kwamba hapo mnarise mgogoro, kila mtu atatuma ushahidi wake, assume labda muuzaji atatuma ushahidi wa kusafirisha mzigo kwa kuonyesha lisit ya basi namba ya kampuni na kadhalika ushaidi wa msg na kila kitu, sasa itakuwa kazi ya watoahuduma kujua nani anasema ukweli ndo muamala uende kwake.

Hata bitcoin local bitcoin iko hivyo, unachagua wa kununua bitcoin kwake, assume za dollar mia, automatically bitcoin zinatoka kwake zinaingia kwenye escro account, anapokea alert, anakuja hewani unafanya malipo assume kwa paypal, then unarudi unabonyeza nimelipa yeye kule anaconfirm zinakuja kwenye wallet yako, in case akigoma basi hairudi kwake mnaingia kwenye mgogoro, wewe kama kweli ulilipa utawatumiaushahidi wa screenshot ya muamala na ushahidi mwingine watajua kama anadanganya waziachai zije kwako.
 
Inabidi itengenezwe system kabisa ya escrow account Kenya wanafanya hiki kitu hata mimi lilikuwa wazo langu muda sema nilijua itahitajivibari na capital kufanya hii kitu. Hili wazo nililitoa kwa PayPal to Mpesa within 5 minutes maana nafanya nao transactions sana na moja ya huduma wanazotoa ni hii kwa wafanyabiashara wa kenya
 
Idea ya another middle-person mbali na makampuni ya mitandao yenyewe ni unnecessary addendum & retarding bureaucracy.
 

Kabisa, hapa ni kutengeneza namna ya kusajili sellers/suppliers kwenye mfumo fulani ambao wao watalipia usajili na vile vile hawa wasajili ndio watakuwa washika dhamana ya hizi transactions. Making sure the buyer is buying from a credible, verified and certified seller.
 
Japan kwenye mitandao kuna kitu kinaitwa paytrade ambapo ukilipa unamlipa mwenye web kisha saler anakutumia gari akishakamlisha process zote na gari ikaingia kwenye meli na docs zote ukitumiwa ndio mwenye web anarelease pesa kwa saler.
 
Lakini mzigo ameshachukua.
 
Hii dawa mbona ipo? Biashara yeyote inayofanyika kimtandao lazma uwe na namba ya lipa na ...njia hii muamala haurudishwi mpaka voda wakupigie simu kwanza
 
Nani anayesimamia njia ya usafirishaji wa bidhaa mpaka kumfikia mteja na kuna ushahidi upi unaothibitisha kuwa bidhaa imefika?.
 
Kenyaa wameshaanzaa kutumia hii mifumo, kuna kitu wanakiita pay protect... Mtoa wazo huko sahihi sana nadhan hili linawezekana sn linahitaji vinyama nyama kidogo.

Narudi.
 
Nani anayesimamia njia ya usafirishaji wa bidhaa mpaka kumfikia mteja na kuna ushahidi upi unaothibitisha kuwa bidhaa imefika?.
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wanaokomenti ama bila kusoma mada au kutoielewa. Hata ungezuga kupitia komenti kadhaa ungepata majibu ya kina kuliko hata swali lako lenyewe. Alisemaaa, alisema, alisema Jumbe alisema, vijana wangu wote wamelegea! Uvivu ni ugonjwa mbaya & hatari sana.
 
Mfano umeeleweka vizuri. Lakini kama mantiki ni kutuma pesa kwa mfumo huu ili ikawe withheld kwa muda hadi wakati wa kulipa "ada," why usimtumie tu kwa muda mwafaka wa ulipaji???
 
Ishu ninayoiona anahitajika wakala a-konfirm kama mzigo umechukua au la.Wenye mabasi na posta wana nafasi ya kuthibitisha na kukupa confirmation recept no. ambayo utaituma kwa mnunuzi ili atoe hela yake, au u maduka ya uwakala wa mtandaoni yaanzishwe na yapewe nguvu ya kisheria bila kuathiri utaratibu uliopo.
 
Haya sasa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…