green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Huyu boya sio ndio alikuaga anaropoka idadi ya Watumishi waliofoji vyeti kipindi Cha JK ili apewe sifa kumbe kagusa watu wengi. Na yule Ngosha naye akashupalia watu wakafukuzwa bila stahiki zao.. sasa na yeye kakutana na wajanja ananyea ndoo hii Nchi ukitaka kuishi vizuri acha na Ujuaji utaishia pabaya...