J JUMA JUMA JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 790 Reaction score 964 Jan 10, 2023 #1 HABARI PICHA Mkutano Baina ya Waziri wa Kilimo na Wahariri wa vyombo vya Habari Pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo Unaendelea katika Ukumbi wa Mabele Jijini Dodoma. Ajenda 10/30 KILIMO NI BIASHARA
HABARI PICHA Mkutano Baina ya Waziri wa Kilimo na Wahariri wa vyombo vya Habari Pamoja na Wadau wa Sekta ya Kilimo Unaendelea katika Ukumbi wa Mabele Jijini Dodoma. Ajenda 10/30 KILIMO NI BIASHARA
Vitalis Msungwite JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,292 Reaction score 7,867 Jan 10, 2023 #2 Aliembelea scheme yetu ya umwagiliaji na ninauhakika atakua na nondo za kutosha.