and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Rwanda wameandaa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambao unakaribisha wakuu wa nchi na serikali wapatao 54.
Tuna ya kujifunza toka kwa jirani zetu hawa. Fikiria wameuana yapata milioni 1 mwaka 1994. Wengi wakakimbia nchi Kama wakimbizi, baadhi wamerudi wanajenga nchi.
Leo hii ni mwanachama (mchanga wa Commonwealth) na sasa wanaandaa mkutano mkubwa duniani.