Mkutano Jumuiya ya Madola, Kigali

Mkutano Jumuiya ya Madola, Kigali

Na mkutano wa kumchagua rais wa FIFA utafanyikia mwakani huko,Mkutano mwingine wa nchi za francophone (nchi 88) utafanyikia huko pia, bado Kuna mkutano wa Woman deliver utakaokua na wageni 6,000 nao Ni huko huko.Yaani Wana mikutano Kama yote.

Nashauri kila nchi ianze kuwapokea wakimbizi kutoka UK ili ipate mikutano kama hio ipige biashara.
Kwahiyo tutegemee utulivu Eastern Congo
 
Nadhani tuwaulize wacongo ni kwanini nchi Yao haina Utulivu kabla hata Kagame hajazaliwa?Wakishapata majibu then wataamua hatma ya nchi Yao Kama wanataka utulivu au saga liendelee.
Sawa Ukoloni ulienda sasa baada ya uhuru kuna majambo yanaendelea ya makusudi ku destabilize amani ya Congo.

Anyways signature yako Mkuu inafurahisha sana.
 
Middle East and North Africa (MENA) hawana shobo na Uingereza. Wanazisaka pesa Kwa njia ya heshima bila kutweza utu wao.
 
Back
Top Bottom