Unajua kuwa sababu za Rwanda kupewa huo mkutano ni mkataba wake na UK wa kupokea wakimbizi watakao kuwa wanakimbia UK?Rwanda wameandaa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambao unakaribisha wakuu wa nchi na serikali wapatao 54.
Tuna ya kujifunza toka kwa jirani zetu hawa. Fikiria wameuana yapata milioni 1 mwaka 1994. Wengi wakakimbia nchi Kama wakimbizi, baadhi wamerudi wanajenga nchi.
Leo hii ni mwanachama (mchanga wa Commonwealth) na sasa wanaandaa mkutano mkubwa duniani.
View attachment 2270359View attachment 2270360View attachment 2270363View attachment 2270368
Hao mademu mnawasifiaga coz hamjawai kuwa nao ila wakawaida saaanaaaaaMabinti wa Rwanda si mchezo
Hao mademu mnawasifiaga coz hamjawai kuwa nao ila wakawaida saaanaaaaa
Na mkutano wa kumchagua rais wa FIFA utafanyikia mwakani huko,Mkutano mwingine wa nchi za francophone (nchi 88) utafanyikia huko pia, bado Kuna mkutano wa Woman deliver utakaokua na wageni 6,000 nao Ni huko huko.Yaani Wana mikutano Kama yote.Unajua kuwa sababu za Rwanda kupewa huo mkutano ni mkataba wake na UK wa kupokea wakimbizi watakao kuwa wanakimbia UK?
Upo sahihi mkuu. Nlikaa Rwanda Kigali ila sikuona maajabu yoyote ya hao warembo wanaopeqa promo kuuubwaHao mademu mnawasifiaga coz hamjawai kuwa nao ila wakawaida saaanaaaaa
Unadhani nchi yenye GDP ya USD 70+ Billion ni ya kutegemea mikutano? Mikutano mingapi nchi hii imeandaa? Je, unadhani tunaweza kuongeza chochote kisiasa, kiuchumi? Kidiplomasia?Rwanda wameandaa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Madola ambao unakaribisha wakuu wa nchi na serikali wapatao 54.
Tuna ya kujifunza toka kwa jirani zetu hawa. Fikiria wameuana yapata milioni 1 mwaka 1994. Wengi wakakimbia nchi Kama wakimbizi, baadhi wamerudi wanajenga nchi.
Leo hii ni mwanachama (mchanga wa Commonwealth) na sasa wanaandaa mkutano mkubwa duniani.
View attachment 2270359View attachment 2270360View attachment 2270363View attachment 2270368
Unadhani nchi yenye GDP ya USD 70+ Billion ni ya kutegemea mikutano? Mikutano mingapi nchi hii imeandaa? Je, unadhani tunaweza kuongeza chochote kisiasa, kiuchumi? Kidiplomasia?
Duh! Haya bwana.Unajua kuwa sababu za Rwanda kupewa huo mkutano ni mkataba wake na UK wa kupokea wakimbizi watakao kuwa wanakimbia UK?
Unajua kua huo mkutano ulikua ufanyike Rwanda 2yrs ago ikashindikana kwa sababu ya corona? Mkataba na UK wa kupokea wakimizi ni wa mwaka huu. For your information kwa sasa Rwanda ndio boss wa Commonwealth na La Francofonie .Unajua kuwa sababu za Rwanda kupewa huo mkutano ni mkataba wake na UK wa kupokea wakimbizi watakao kuwa wanakimbia UK?
Hizo spana watapigwa na Nani?Hawa nilikua nikiwakubali ila naona wanaanza kuparatia sana mabeberu soon wataanza kutumiwa, juzi eti walikubali kuwapokea wakimbizi, sasa ni mda wa spana kwa hawa mbwa
Mkuu Commonwealth si yule Mama Scotland?Unajua kua huo mkutano ulikua ufanyike Rwanda 2yrs ago ikashindikana kwa sababu ya corona? Mkataba na UK wa kupokea wakimizi ni wa mwaka huu. For your information kwa sasa Rwanda ndio boss wa Commonwealth na La Francofonie .