Mkutano mkubwa wa siri wa NATO unafanyika Poland bila ya uwepo wa Marekani

Huu sio mkutano wa siri, hadi matonya toka utonyani anajua
 
kama mkataba usio na kikomo umesainiwa na umewekwa wazi na hujachukua hatua yoyote , hlf unataka wafananisha wazungu na upimbi wako ? wenzio wanaangalia kesho na hawana akili za kitumwa , hawasubir mpk ttzo lisogee mlangoni kama ww unasubir waarab waje uone mapunguf ndo uanze kulia sababu ww ni mtumwa na bado akili yako ya kitumwa , hii vita Ulaya hawana namna maaba wakikaa kimya kesho urusi asogea zaidi ndan ya Ulaya na itakuwa ngumu kumkabili maana atatumia maeneo aliyoyateka kuwasumbua ulaya maana sera za Urusi zinalenga kujitanua kila siku , ila ww wakolon walikuja na jeshi la watu 300 wakafanikiwq kuiteka Tangagiza yote sabab alipopigwa mzaramo mkasema hayanihusu , ulipofikiwa na ww ukapigwa ukatekwa pia kumbe ungeungana tangu awali mngemshinda adui , ULAYA SIO WATUMWA KAMA WEWE
 
Pokea taarifa kwa utekelezaji mkuu, na sio kunihoji nimejuaje huku ukiwa labda unahisi wote tupo Tanzania
Baadhi ya watanzania hua ni wajinga sana.
Siri ktk Mkutano huo maana yake kweli waamekutana,lakini hakuna taarifa yoyote kwa chombo chochote Cha habari kua watakutana.
Na yanayozungumzwa ndani hayatatoka.haijalishi wameonekana wamekutania sehemu Gani.
Msemaji hatasema chochote kama ilivyo kawaida,mkutano huo utajulika kua ni WA Siri.
Mkutano wa wakuu wote wa majeshi ya ulaya magharibi ambayo yamo kwenye umoja wa NATO lkn Mkuu wa majeshi wa USA hakuwemo.

Sioni kwa Nini watu wanakupinga.
 
Beberu mkuu kaminywa pabaya huko nyumbani kwao,mpambe UK,nako home kwa moto,hapo wanajadili ama waendelee kujitutumua,ama jirani msaliti wa mr.moscivisht akubali yaeeshee.😂
 
Maybe ni counterattack ya BRICS na impact ya mkutano wa Sauzi
 
Ndio maana hata nimeamua wengine nisiwajibu maana wengi wao wanaleta ushabiki maandazi
 
Yaani wewe Mrusi wa Mchambawima umejua Kuna mkutano wa Siri wa NATO, halafu Marekani asijue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…