tarimemjini
Member
- Jul 10, 2025
- 71
- 142
Hata mimi binafsi naunga huu mfumo mkono maana unaweza saidia ondoa wagombea wasio na maadili haswa watoa rushwa na kuleta wagombea waliofanyiwa vetting vizuri.Mfumo waliotumia CCM kupitisha wagombea watatu TU ni mfumo mzuri na imara,muhimu walinde rusha
Wote waliochukua form za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani.Wagombea WOTE ndio akina nani? ๐
Hapa ni hateri sana chawa watachwa bila kupita, na chama kitakua na uponzani wa ndani ya chama.Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Vipi kuhusu urais?Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Mama tunaye na tunatamba naeVipi kuhusu urais?
Dola na siyo dora...andiko lako ni pumba tupuKutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Nilikuwa sijui kama Tarime kuna majitu majinga hivi!Mama tunaye na tunatamba nae
Sasa itakuwaje?Mkutano mkuu CCM hauwezi kurejesha wagombea wote na sio watatu kwa sababu, Madiwani wa viti maalum nchi nzima ,uchaguzi ulipitia mfumo huo,na ulionyesha mafanikio makubwa sana.
Tugange ya 2030 sasa, hapo ni bao la mkono tayariSasa itakuwaje?
We chawa uelewa wako hafifu sana kama wa sisiminzi..ambacho hujaelewa hapo ni kipi?Wagombea WOTE ndio akina nani? ๐
๐๐๐๐๐ ๐ Daa! Eti watabeba mamba mgongoni!Huu mwaka mtabeba Mamba mgongoni....No Reform No ELECTION!!!