Tetesi: GE2025 Mkutano mkuu CCM kurejesha wagombea wote na sio watatu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.

Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.

Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.

Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.

Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.

Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Huwezi kumpinga rais anayefikisha miaka mitano ndani ya awamu yake ya miaka kumi.

Hakupingwa Kikwete, hakupingwa Mkapa, hajapingwa JPM kwanini aje apingwe Samia?.

Tumieni akili za kawaida tu hizi za kuvukia barabara.
 
TAtizo lipo hapa unapotaka kukata mtu wewe ni takukuru? Kwamba umechunguza na kuhukumu?

Wakirudishwa wote itasaidia sana kwa chama. Watakao kula kura 0 hawatakuwa na wakumlaumu bali wajumbe. Hii itaondo mipasuko isiyokuwa na sababu.

Siasa ni sayansi. Kama kuna atakae honga Takukuru ifanye kazi yake bila kupepesa macho na akibainika nafasi yake irudiwe.

Ukiweka majina matatu kuna hatari ya kutengeneza watu wachache watakao hodhi kila kitu. Mwisho wa siku wataamua nani awe mbunge nani asiwe.

Nomination ya CCM huwa inafuatiwa kuliko hata uchaguzi wenyewe kwa sababu Hata mtu awe upinzani bado anaamini anaechaguliwa na CCM ndiye mbunge. Hivyo inavuta interest ya Taifa zima

Usishangae Wanaopambana zaidi kuona CCM wanapata Candidate wazuri ni wapinzani. Kwasababu wakati mwingine kinachopiganiwa na mwili si kilichopo moyoni.
 
Hata mimi binafsi naunga huu mfumo mkono maana unaweza saidia ondoa wagombea wasio na maadili haswa watoa rushwa na kuleta wagombea waliofanyiwa vetting vizuri.

Naamini mfumo huu ni mzuri zaidi ya kuleta wote maana wengine ni mafisadi hayashindwi kuweka hata bilioni 3 kushinda uchaguzi.
Kama mtu anaonga B3 ni pesa nyingi mno,ubunge anautafuta wa nini?
 
huwezi kutunga kanuni katikati ya mchezo. itaonekana inalenga kupendelea watu. hata kama majina yote yataenda. kwa nini sasa?
 
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.

Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.

Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.

Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.

Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.

Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.

kama watia nia za ubunge ,udiwani wanatakiwa kuwa zaidi ya watatu ,mbonye kwenye kiti cha urais mtia nia ni mmoja tu? nauliza tu wajemeni. haki itendeke kila safu
 
TAKUKURU wanalipwa mishahara ya bure tu!

BTW:Kwa hali ya sasa ya siasa za upinzani nchini,hilo fukuto la watu kukatwa halina athari kwa CCM sababu mpinzani mkuu hashiriki uchaguzi.
 
Huwezi kumpinga rais anayefikisha miaka mitano ndani ya awamu yake ya miaka kumi.

Hakupingwa Kikwete, hakupingwa Mkapa, hajapingwa JPM kwanini aje apingwe Samia?.

Tumieni akili za kawaida tu hizi za kuvukia barabara.
Umri wako tafadhali.
Mkapa alipingwa sana, fanya marejeo ya kolimba, mzindakaya

Kikwete alipingwa sana, shibuda alitangaza kuchukua fomu na kugombea 2010

Magufuli alipingwa sana, marejeo yafanya kwa membe, kinana, makamba. Magufuli 2020 mwanzoni alihoji wengine liwapa 10 kwa nn yeye wanataka wampe mitano

Leta hoja nyingine. Wote walipingwa
 
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.

Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.

Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.

Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.

Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.

Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Wananchi hawamtaki huyo mama yenu mnalazimisha kitu kisicho na manufaa yoyote wananung'unika chini kwa hofu ya kutekwa lakini hawamtaki hata kwa mtutu wa bunduki. Wapambe mnatakiwa kuelewa hilo
 
Hata mimi binafsi naunga huu mfumo mkono maana unaweza saidia ondoa wagombea wasio na maadili haswa watoa rushwa na kuleta wagombea waliofanyiwa vetting vizuri.

Naamini mfumo huu ni mzuri zaidi ya kuleta wote maana wengine ni mafisadi hayashindwi kuweka hata bilioni 3 kushinda uchaguzi.
How about hao wagombea watatu kupenyezwa kwa rushwa na wengine kukatwa kwa fitna, hila na wivu?

Kama rushwa ipo, ipo tu na huwezi kuikwepa. Acha wajumbe wajichagulie wamtake
 
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.

Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.

Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.

Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.

Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.

Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
 
Attachments

  • IMG-20250725-WA0000.jpg
    IMG-20250725-WA0000.jpg
    88.8 KB · Views: 15
Umri wako tafadhali.
Mkapa alipingwa sana, fanya marejeo ya kolimba, mzindakaya

Kikwete alipingwa sana, shibuda alitangaza kuchukua fomu na kugombea 2010

Magufuli alipingwa sana, marejeo yafanya kwa membe, kinana, makamba. Magufuli 2020 mwanzoni alihoji wengine liwapa 10 kwa nn yeye wanataka wampe mitano

Leta hoja nyingine. Wote walipingwa
Nina miaka zaidi ya 50 najua nilichoongea kwa kina tena.

Hao waliwapinga katika michakato ya siasa za kila siku hakuna mwanachama aliyejitokeza kumpinga Mkapa mwaka 2000 wakati akiingia awamu ya pili ya urais wake.

Hakuna mwanachama wa CCM aliyejitokeza kumpinga JK mwaka 2010 wakati anaimalizia ngwe yake ya pili.

Hakuna mwanachama wa CCM aliyejitokeza kumpinga Magufuli mwaka 2020 wakati anajiandaa kuimalizia ngwe ya pili.

Tofautisha siasa za kila siku za nchi na utaratibu wa kumuachia Rais anayekuwepo madarakani aendelee na muhula wa pili madarakani.
 
Hao niliokutajia walipinga. Kupinga na kufanikiwa walichopinga ndio vitu tofauti
 
TAKUKURU wanalipwa mishahara ya bure tu!

BTW:Kwa hali ya sasa ya siasa za upinzani nchini,hilo fukuto la watu kukatwa halina athari kwa CCM sababu mpinzani mkuu hashiriki uchaguzi.
Huzuni sana
 
Back
Top Bottom