tarimemjini
Member
- Jul 10, 2025
- 71
- 142
- Thread starter
-
- #21
Sa itakuwaje?Mkutano mkuu CCM hauwezi kurejesha wagombea wote na sio watatu kwa sababu, Madiwani wa viti maalum nchi nzima ,uchaguzi ulipitia mfumo huo,na ulionyesha mafanikio makubwa sana.
Huwezi kumpinga rais anayefikisha miaka mitano ndani ya awamu yake ya miaka kumi.Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Wagombea WOTE ndio akina nani? 😂
Kama mtu anaonga B3 ni pesa nyingi mno,ubunge anautafuta wa nini?Hata mimi binafsi naunga huu mfumo mkono maana unaweza saidia ondoa wagombea wasio na maadili haswa watoa rushwa na kuleta wagombea waliofanyiwa vetting vizuri.
Naamini mfumo huu ni mzuri zaidi ya kuleta wote maana wengine ni mafisadi hayashindwi kuweka hata bilioni 3 kushinda uchaguzi.
wale wanaompinga sa100Wagombea WOTE ndio akina nani? 😂
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Huonag zile tag kule au mada nzito ?Hapa ni hateri sana chawa watachwa bila kupita, na chama kitakua na uponzani wa ndani ya chama.
Sahihi kabisahuwezi kutunga kanuni katikati ya mchezo. itaonekana inalenga kupendelea watu. hata kama majina yote yataenda. kwa nini sasa?
Umri wako tafadhali.Huwezi kumpinga rais anayefikisha miaka mitano ndani ya awamu yake ya miaka kumi.
Hakupingwa Kikwete, hakupingwa Mkapa, hajapingwa JPM kwanini aje apingwe Samia?.
Tumieni akili za kawaida tu hizi za kuvukia barabara.
Wananchi hawamtaki huyo mama yenu mnalazimisha kitu kisicho na manufaa yoyote wananung'unika chini kwa hofu ya kutekwa lakini hawamtaki hata kwa mtutu wa bunduki. Wapambe mnatakiwa kuelewa hiloKutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
How about hao wagombea watatu kupenyezwa kwa rushwa na wengine kukatwa kwa fitna, hila na wivu?Hata mimi binafsi naunga huu mfumo mkono maana unaweza saidia ondoa wagombea wasio na maadili haswa watoa rushwa na kuleta wagombea waliofanyiwa vetting vizuri.
Naamini mfumo huu ni mzuri zaidi ya kuleta wote maana wengine ni mafisadi hayashindwi kuweka hata bilioni 3 kushinda uchaguzi.
Kutokana na hali ya joto na mivutano ndani ya CCM juu ya uteuzi wa watia nia watatu katika kugombea nafasi za Ubunge na udiwani imebidi mkutano mkuu maalum uitishwe kwa njia ya mtandao.
Madhumuni ya mkutano huo mkuu ni kutengua kanuni waliyoipitisha January 2025 juu ya mchakato wa uteuzi wa wagombea katika uwakilishi katika vyombo vya Dora.
Maandalizi yamekamilika ili mkutano huo mkuu utengue kanuni hiyo ili wagombea wote waliochukua fomu waingie katika kura za maoni.
Ikumbukwe hadi sasa kuna wagombea wanaozunguka na kugawa pesa kinyume na taratibu, kanuni na maagizo ya Chama.
Huu ni mtego kwa wagombea ambao hawaamini katika rushwa na uvunjifu wa kanuni za Chama.
Jambo hili likifanyika litazidi kuifanya CCM kuwa sehemu muhimu ya ufisadi na uhujumu uchumi.
Nina miaka zaidi ya 50 najua nilichoongea kwa kina tena.Umri wako tafadhali.
Mkapa alipingwa sana, fanya marejeo ya kolimba, mzindakaya
Kikwete alipingwa sana, shibuda alitangaza kuchukua fomu na kugombea 2010
Magufuli alipingwa sana, marejeo yafanya kwa membe, kinana, makamba. Magufuli 2020 mwanzoni alihoji wengine liwapa 10 kwa nn yeye wanataka wampe mitano
Leta hoja nyingine. Wote walipingwa
Hao niliokutajia walipinga. Kupinga na kufanikiwa walichopinga ndio vitu tofautiNina miaka zaidi ya 50 najua nilichoongea kwa kina tena.
Hao waliwapinga katika michakato ya siasa za kila siku hakuna mwanachama aliyejitokeza kumpinga Mkapa mwaka 2000 wakati akiingia awamu ya pili ya urais wake.
Hakuna mwanachama wa CCM aliyejitokeza kumpinga JK mwaka 2010 wakati anaimalizia ngwe yake ya pili.
Hakuna mwanachama wa CCM aliyejitokeza kumpinga Magufuli mwaka 2020 wakati anajiandaa kuimalizia ngwe ya pili.
Tofautisha siasa za kila siku za nchi na utaratibu wa kumuachia Rais anayekuwepo madarakani aendelee na muhula wa pili madarakani.
Huzuni sanaTAKUKURU wanalipwa mishahara ya bure tu!
BTW:Kwa hali ya sasa ya siasa za upinzani nchini,hilo fukuto la watu kukatwa halina athari kwa CCM sababu mpinzani mkuu hashiriki uchaguzi.