Vyombo vya juu kabisa vya kichama ndivyo vilivyofanya maamuzi sahihi,ndani ya mikutano yake,na kura zikapigwa kizuri zaidi kura zote kwa asilimia 99.8 zikaafiki,na kumsimika,ya kwamba hawa ndiyo wagombea wetu,
#Kushindana na uamuzi wa vyombo vyote hivyo vya kichama vilivyofanya maamuzi ndani ya chama chao,inatakiwa uwe mwendawazimu!
Naziomba mamlaka ziwapuuze tu ambao watakuwa na mawazo tofauti wala wasijibiwe lolote,tusonge mbele,tuuandae uchaguzi wetu vizuri kwani muda ni mfupi hautoshi kulumbana,
HAPA NI KU TIKI TU
View attachment 3410453