Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi aliyoibakiza kwenye ilani 2015-2025 na kuanzisha miradi mipya ili kuongeza kasi ya kwenda uchumi wa kati wa juu zaidi. Sina sababu ya kuyaeleza yote aliyoyafanya kwa Taifa na hata kwa Chama Cha Mapinduzi katika kipindi kifupi cha miaka 5.
Mafanikio ni makubwa kwa sekta za afya, elimu,miundo mbinu ya barabara,bandari, mawasiliano, viwanda, maji, madini,reli,nidhamu, rushwa, uwajibikaji. Tulitaka Rais wa namna yake.
Tunaomba mturejee huku kwingine tutamalizana nao. Tunawatakia Mkutano Mkuu mwema na Mungu awatangulia kwa yote yaliyo mema.