fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Lakini hata hao wazungu ujue wamemwaga damu sana mpaka kufikia hivyo viwango walivyonavyo sasa? Na wanaelewa inakuwaje pale haki za watu zinapogandamizwa.Ndiooo!! Kutokana na roho zetu za kichawi kichawi tu!!! Mtu yupo tayari kuona roho za watu zinapotea, yeye anashabikia kisa mfumo unaotesa wengine ananufaika nao!! Ndio maana unaona hata viingozi wa dini nao ni wale wale tu!!
Nasi twahitaji kupitia huo moto ili kieleweke, ni unyonge na hali ya kusahau wa watanzania ndio kinachoipa jeuri hiking chama kinachojinasibu kutawala Noelle.
Bila kuamua tutaendelea kuwa nyuma kwa kila jambo