Lakini hata hao wazungu ujue wamemwaga damu sana mpaka kufikia hivyo viwango walivyonavyo sasa? Na wanaelewa inakuwaje pale haki za watu zinapogandamizwa.Ndiooo!! Kutokana na roho zetu za kichawi kichawi tu!!! Mtu yupo tayari kuona roho za watu zinapotea, yeye anashabikia kisa mfumo unaotesa wengine ananufaika nao!! Ndio maana unaona hata viingozi wa dini nao ni wale wale tu!!
MODS tafadhali ingieni kati. Mwandishi, kwa kuzidiwa hoja, analeta mambo ambayo yako nje kabisa ya mada na kutaka kuanzisha ugomvi wa kidini kwa kukosoa dini za wenzake. Mtoa mada wa awali alikuwa anazungumzia ufanisi wa Rais Magufuli na hakuashiria cho chote cha dini.Ndio ukweli huo, kiumbe cheusi ni tabuuu!! Ndio maana mnafikia hatua ya kumuabudu binadamu mwenzenu kama mungu, na yeye kweli anajiona ni mungu!!! Roho za kichawi chawi tu,
Ugomvi wa kidini upi? Mimi nakataa panapokuwa na watu wanajifanya kumuona kiongozi kama mungu mtu?!! Wakati ni binadamu kama wengine?!! Yule RC, aliyesema kuwa mungu anatakiwa ampongeze kiongozi? Na yule aliyesema kuwa anamfananisha na yesu?! Acha unafiki huo!! Kujifanya mnamjua sana mungu,ktk mchango wangu wa awali kuna sehemu nimetaja rais, usitake kuongozwa kwa mihemkoMODS tafadhali ingieni kati. Mwandishi, kwa kuzidiwa hoja, analeta mambo ambayo yako nje kabisa ya mada na kutaka kuanzisha ugomvi wa kidini kwa kukosoa dini za wenzake. Mtoa mada wa awali alikuwa anazungumzia ufanisi wa Rais Magufuli na hakuashiria cho chote cha dini.
Kwani kulitaja sana jina la mungu, bila kuliishi ndio ucha mungu?!! Na kibaya zaidi waafrika licha ya maovu yetu mengi ndio tunajifanya kumjua sana mungu!!! Ndio maana hata sasa wahuni wengi wameshawasoma akili zenu wanajiingiza kwenye dini, kwa kuanzisha makanisa, na kuwanufaisha wao!! Kisa wanalitaja sana jina la mungu!!!Kama umefikia hatua ya kumkosoa muumba wako na kujihisi uko sahihi ujue kuna hitilafu kubwa ktk ubongo wako. Kwahiyo hata mawazo yako yanakuwa yakipumbavu tu.
Mimi ni Mkristu. Katika dini yangu tunaamini Yesu ni Mungu aliyejifanya mtu kwa madhumuni maalumu. Ndiyo maana uliposema watu wengine wanaabudu binadamu mwenzao kama Mungu niliudhika kwamba unaleta mambo ya kidini nje na mada inayokuwa mezani. Sina habari na nini kilisemwa sijui na RC gani.Ugomvi wa kidini upi? Mimi nakataa panapokuwa na watu wanajifanya kumuona kiongozi kama mungu mtu?!! Wakati ni binadamu kama wengine?!! Yule RC, aliyesema kuwa mungu anatakiwa ampongeze kiongozi? Na yule aliyesema kuwa anamfananisha na yesu?! Acha unafiki huo!! Kujifanya mnamjua sana mungu,ktk mchango wangu wa awali kuna sehemu nimetaja rais, usitake kuongozwa kwa mihemko
Kama ameshindwa miaka 5 vipi ataweza tena 5 yrs again? Hali keshaibomoa misingi ya uchumiMkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi aliyoibakiza kwenye ilani 2015-2025 na kuanzisha miradi mipya ili kuongeza kasi ya kwenda uchumi wa kati wa juu zaidi. Sina sababu ya kuyaeleza yote aliyoyafanya kwa Taifa na hata kwa Chama Cha Mapinduzi katika kipindi kifupi cha miaka 5.
Mafanikio ni makubwa kwa sekta za afya, elimu,miundo mbinu ya barabara,bandari, mawasiliano, viwanda, maji, madini,reli,nidhamu, rushwa, uwajibikaji. Tulitaka Rais wa namna yake.
Tunaomba mturejee huku kwingine tutamalizana nao. Tunawatakia Mkutano Mkuu mwema na Mungu awatangulia kwa yote yaliyo mema.

Nilichogundua utofauti wa akili ya mtu mweusi, na mzungu ni kitu cha muhimu ambacho kinaamua hatima ya maisha yake, kukishabikia kama vile anashabikia mpira, au bonanza!! Na kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu mambo ambayo ni hisia!! Mungu alikosea sana kuumba kiumbe mweusi!! Kutokana na matendo yetu.
Ndiooo!! Kutokana na roho zetu za kichawi kichawi tu!!! Mtu yupo tayari kuona roho za watu zinapotea, yeye anashabikia kisa mfumo unaotesa wengine ananufaika nao!! Ndio maana unaona hata viingozi wa dini nao ni wale wale tu!!
Kwani kulitaja sana jina la mungu, bila kuliishi ndio ucha mungu?!! Na kibaya zaidi waafrika licha ya maovu yetu mengi ndio tunajifanya kumjua sana mungu!!! Ndio maana hata sasa wahuni wengi wameshawasoma akili zenu wanajiingiza kwenye dini, kwa kuanzisha makanisa, na kuwanufaisha wao!! Kisa wanalitaja sana jina la mungu!!!Kama umefikia hatua ya kumkosoa muumba wako na kujihisi uko sahihi ujue kuna hitilafu kubwa ktk ubongo wako. Kwahiyo hata mawazo yako yanakuwa yakipumbavu tu.
Halafu wanajifanya kuwatia watu ujinga!! Ndio uchawi wenyewe huo!! Wengi wanaumia halafu wao ndio wanajifanya na uchungu sana, na kumjua mungu kumbe, ni mashetani!!Yeyeto anaenufaika na mfumo hawezi uponda mfumo, tofauti na wenzetu utanguliza Jamii kwanza,sisi ni sisi kwanza
ngozi nyeusi lazima ina chembechembe za laana - kuna kitu itakuwa tulimkosea Muumba wetu...haiwezekani karne hii ati tuishi kama wanyama wa mwitu....Nilichogundua utofauti wa akili ya mtu mweusi, na mzungu ni kitu cha muhimu ambacho kinaamua hatima ya maisha yake, kukishabikia kama vile anashabikia mpira, au bonanza!! Na kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu mambo ambayo ni hisia!! Mungu alikosea sana kuumba kiumbe mweusi!! Kutokana na matendo yetu.
Nilichogundua utofauti wa akili ya mtu mweusi, na mzungu ni kitu cha muhimu ambacho kinaamua hatima ya maisha yake, kukishabikia kama vile anashabikia mpira, au bonanza!! Na kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu mambo ambayo ni hisia!! Mungu alikosea sana kuumba kiumbe mweusi!! Kutokana na matendo yetu.
Huo ndio ukweli!! Halafu tunajifanya watakatifu,ngozi nyeusi lazima ina chembechembe za laana - kuna kitu itakuwa tulimkosea Muumba wetu...haiwezekani karne hii ati tuishi kama wanyama wa mwitu....