jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Mkutano mkuu maalumu wa CCM ni tukio adimu na huweza kuchukua miaka mitano.
Mara zote Mkutano mkuu wa CCM hutumika kuweka mustakabali wa Chama cha mapinduzi,vyama vya upinzani,Serikali na mwenendo wa siasa nchini.
Tujiandae kupitia media zote,mitandao ya kijamii na kuna baadhi ya maeneo yatatumia zoom meeting kujiunga.
KIDUMU CHAMA TAWALA!