Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi Dodoma 2025 kutoa muelekeo wa Taifa!

Mwelekeo wa kula kwa urefu wa kamba , kuteka , mauaji, wizi wa kura ndio ulimaanisha?
 
View attachment 3204807
Mkutano mkuu maalumu wa CCM ni tukio adimu na huweza kuchukua miaka mitano.

Mara zote Mkutano mkuu wa CCM hutumika kuweka mustakabali wa Chama cha mapinduzi,vyama vya upinzani,Serikali na mwenendo wa siasa nchini.

Tujiandae kupitia media zote,mitandao ya kijamii na kuna baadhi ya maeneo yatatumia zoom meeting kujiunga.

KIDUMU CHAMA TAWALA!
Wote hawa ni wachawi tu, hamna lolote hapa.Ukienda tofauti nao wanakuua.
 
View attachment 3204807
Mkutano mkuu maalumu wa CCM ni tukio adimu na huweza kuchukua miaka mitano.

Mara zote Mkutano mkuu wa CCM hutumika kuweka mustakabali wa Chama cha mapinduzi,vyama vya upinzani,Serikali na mwenendo wa siasa nchini.

Tujiandae kupitia media zote,mitandao ya kijamii na kuna baadhi ya maeneo yatatumia zoom meeting kujiunga.

KIDUMU CHAMA TAWALA!
Duuu KUMBE TAIFA halikuwa na mwelekeo!!! 🤣🤣🤣😅😅😅🤔🤔🚴🚴
 
Mkutano umepooza! Yaani ungechangamka kama hata warithi wa kinana wangechukia hata fomu wanadi sera yaani kimyaa kama wanasubiri teuzi
 
Uongo upo huko CDM na Lema amesema wazi
Muongo ni huyu aliyeomba ripoti ya mauaji tangu mwaka jana mwezi wa 9 na hakuna utekelezaji.
1000289421.jpg
 
View attachment 3204807
Mkutano mkuu maalumu wa CCM ni tukio adimu na huweza kuchukua miaka mitano.

Mara zote Mkutano mkuu wa CCM hutumika kuweka mustakabali wa Chama cha mapinduzi,vyama vya upinzani,Serikali na mwenendo wa siasa nchini.

Tujiandae kupitia media zote,mitandao ya kijamii na kuna baadhi ya maeneo yatatumia zoom meeting kujiunga.

KIDUMU CHAMA TAWALA!
Kumbe kuna mkutano wa CCM? Ndo najua leo!
 
Back
Top Bottom