Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza


Mkuu unajicho kali me hili jambo sikufikiri hivyo
 
Akihojiwa na mwandishi wa Habari Nape Nnauye ameipongeza Sekretariati pamoja na Kamati kuu ya CCM kwa kuandaa mkutano mkuu na amefurahia transparancy iliyooneshwa.

Transparency.......

Si wale "wafipa" wewe mtu Yuko Ulaya huko anachaguliwa kuwa MAKAMU MWENYEKITI WA CHAMA wanakuambia eti wametumia teknolojia ya video conference 😀😀😀
 
😂😂
 
Haf
Kuna sababu kadhaa;
Mojawapo ni kufukuzwa kwa 'mnogeshaji' chamani

Can u imagine wangekuwepo hata watano ama watatu na kura zikapigwa?hio amsha amsha yake ingekua sio ndogo

Mnogeshaji alikuwa anabebwa na boss aliyepita tu buanaaa....

"Boyfriend" wa Nandy Hana nguvu aliyo nayo mh.Magu ndani ya chama....
Take it
 

Mwenye mapenzi ni yule anayebambikiza watu kesi, na kuwapoteza wengine. Na wengine kuwapiga risasi??
 

Hajawahi kushinda. Wewe kumbe ndiye jecha ?
 
HIVI AGENDA YAKE MAHUSUSI NI IPI...? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

KWELI AFRIKA HAITAKAA IISHE MAAJABU.
 

Nilikosea ni Jim Brown hivi huyu. Ni ndugu yako,? Sisi tunamwita Truck turner? Tusalimie Bashite na Kardinali wako pengo
 
Haf


Mnogeshaji alikuwa anabebwa na boss aliyepita tu buanaaa....

"Boyfriend" wa Nandy Hana nguvu aliyo nayo mh.Magu ndani ya chama....
Take it
Huwezi jua
Na ndo mana walimfukuza...ana potential flani angeweza wasumbua labda
 
Kachaguliwa au kapitishwa, maana huwezi fanya uchaguzi pasipokuwa na mpinzani...
 
Katiba ifanyiwe mabadiliko, watanganyika tunataka kuwa na Rais kama ilivyo kwa koloni letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…