Mkutano mkuu wa Chadema ufanyike Ukumbi wa Polisi Kilwa road Kwa sababu za kiusalama. Pale Mlimani City kuna vitega Uchumi vurugu ni hatari!

Kwani kazi ya jeshi la polisi ni nini.
 
 
vita vya panzi kufanyika katika ukumbi mlimani City kesho 🐒
 
Acha mambo yako unakuja kuvuruga wewe?
 
Hivi nyie huwa hamna kumbi zenu mpaka mtangetange hivyo?
 
Kabisa itakuwa sawa sana, minitakuwa hapa Masai club, ama kilwa road pub napata Moja baridi Moja moto wakati nasubiria matokeo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wala usijali team maropo tutawadhibiti.
 
Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi ili kuongeza usalama, msiwe na wasi wasi 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…