Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu

Tume ni hurub mkuu na haki ndio maana upinzani mkishindwa hamuendagi mahakamani, mnaishia kulalamika mitandaoni tu!
Tume ya Mchengerwa ya ushindi wa 99% au mnatuona Watanzania ni wajinga sana?
 
Habari ya nchi ni uchaguzi wa chama dume Chadema huo upuuzi wa mbogamboga watu hawana muda nao kwani ni maigizo tu ya kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…