imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Tume ya Mchengerwa ya ushindi wa 99% au mnatuona Watanzania ni wajinga sana?Tume ni hurub mkuu na haki ndio maana upinzani mkishindwa hamuendagi mahakamani, mnaishia kulalamika mitandaoni tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tume ya Mchengerwa ya ushindi wa 99% au mnatuona Watanzania ni wajinga sana?Tume ni hurub mkuu na haki ndio maana upinzani mkishindwa hamuendagi mahakamani, mnaishia kulalamika mitandaoni tu!
Habari ya nchi ni uchaguzi wa chama dume Chadema huo upuuzi wa mbogamboga watu hawana muda nao kwani ni maigizo tu ya kipumbavu.Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu.
Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini Dodoma, Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.
#kaziiendelee
#tunaendeleanamama
#MkutanowaCCM2025
sio watanzania labda wewe, ccm inapendwa sanaTume ya Mchengerwa ya ushindi wa 99% au mnatuona Watanzania ni wajinga sana?