Mkutano Mkuu wa Klabu ya Simba SC, MO kupewa timu leo

Vyura FC tuachieni simba yetu nendeni mkashone yeboyebo zenu jang'wani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumwona mhindi akiendesha biashara yake Kwa hasara..... Simba ndo baibai... Nilikuwa nashangaa sana huu usajili hela inatoka wp? Ndo basi tena....Wanachama hamna sauti tena ndani ya club

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka yote hyo hao wanachama wameifanyia nini simba?? Wabaki tu mashabiki wawachie watu wenye weledi na pesa waiongoze simba,mpira wa sasa nipesa kama unataka kufanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuta mtu anaongea kujifanya mshabiki wa simba huku
1. Hana Kadi ya unachama so hachangii chochote kwenye team
2. Mechi za Simba unakuta anaangalizia Vibanda umiza anatoa 500 Uwanjan Haendi
3.Hashiriki lolote kwenye Maswala ya kuwezesha club zaid ya kutoa kasoro na majina ya wachezaji anaowataka ikifika msimu wa usjili
4. Anafurahia akisikia Bocco mavogo Kichuya wamesajiliwa na kutamba mtaan Kwa simba yangu mwaka huu hapon mtu huku hajatoa hata tsh 10
Leo hii anapiga kelele Mo asipewe team, We utakuwa mzima kwel, Ukiuliza kwann asipewe hana majibu sahih zaid ya kusema mie nmeiotoa simba mbali umeitoa mbali umeipeleka wapi shubaamit zako
Achen Mo apewe Team.
 
Mkuu ungetoa ushauri huu mapema kabla ya hili kutokea ingekuwa poa lakini umechelewa basi tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amka wewe povu la nini sasa? Hiyo miaka mingi ya ushabiki wako kuna faida gani mmeleta we na wenzako? Tunataka mabadiliko na washabiki wa aina yako hatutaki kuwaona yaani hamtakiwi hata na mfumo wenyewe. Nenda singida unt huko.
[emoji23] ...[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amka wewe povu la nini sasa? Hiyo miaka mingi ya ushabiki wako kuna faida gani mmeleta we na wenzako? Tunataka mabadiliko na washabiki wa aina yako hatutaki kuwaona yaani hamtakiwi hata na mfumo wenyewe. Nenda singida unt huko.
Safi sana kluger mtu anatokwa povu hata elfu 5 hajawahi kutoa simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we una akili kwel?
 
MO ni mfanyabiashara, anaweza kutufanyia kama alivyoifanya African Lyon vile vile! ingependeza kama mchakato ungekuwa wazi tukapata several bidders tuka chagua the best evaluated bidder, labda tungepata matumaini,
Kama mtu alianzisha timu yake baadae akaikimbia itakuwaje kwa simba ambayo kila wakati watu watakuwa wanamkosoa? Hapa kilichoko wazi,Dewji ataikimbia timu mwenyewe na kutakuwa na kesi kila siku mahakamani.Tusubiri ili tuone,astala vista Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Mo apewe timu tu. Tubaki washabiki au tununue hisa na sie. Naiona Simba mpya. Naipenda simba mshabiki wa damu.
 
Sijawahi kumwona mhindi akiendesha biashara yake Kwa hasara..... Simba ndo baibai... Nilikuwa nashangaa sana huu usajili hela inatoka wp? Ndo basi tena....Wanachama hamna sauti tena ndani ya club

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kashachukua team yake alitime Uongoz uliompnga ukiwa jela akachakachua. ..natabiri mgogoro apo kwa majiran
 
barca, Madrid za wanachama Bayern na timu nyingine ujerumani sheria asilimia51. zinamilikiwa na wanachama tatizo mchakato umejaa ujanja kama wanataka kubadirisha uendeshaji kwann wasifanye mchakato wa wazi umeona wapi mtu anataka kununua kitu chako yeye ndio anapanga bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…