Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,621
Vyura FC tuachieni simba yetu nendeni mkashone yeboyebo zenu jang'waniKwa nini Simba?Si ana pesa akaanzishe timu yake?
Kuna siku yatatokea maafa pale uwanjani,kwa sababu MO hawezi kukataa B5 ili simba ifungwe na yanga bao 6,itakuaje na time tumempa bure?
Serikali iingilie kati suala hili no bora awe Rais wa timu atumue nembo tu
Sent using Jamii Forums mobile app