GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo tumejiridhisha na Kuamini.
Katika hali ya Kushangaza (ambayo kamwe hutoweza kuikuta kwa Mashabiki Werevu tupu wa Simba SC ) leo Mmoja wa Wanachama wa Yanga SC akiwa Mkutanoni kwa Majigambo kabisa wakati akitoa maoni yake juu ya Mchakato wa Mabadiliko ndani ya Yanga kwa Kujiamini na Mikogo yote alisema kuwa Klabu ya Yanga inaenda kuwa na Mafanikio makubwa kama ilivyo Klabu ya Real Madrid kutokea nchini Ufaransa wakati Kiuhalisia Klabu hiyo inatokea nchini Hispania.
Ushauri wa bure kwa Yanga SC hebu kuanzia sasa tumieni muda wenu mkubwa mnaokaa Kuipiga Majungu Simba SC kwa Kuwaelimisha Mashabiki zenu Oya Oya (Washamba) wengi waujue vyema Mpira wa Miguu na wawe na Maarifa nao vile vile.
Ninajivunia tu kuwa ni mwana Simba SC.