Kauli yako unamaanisha YANGA na Tigo Mbali MbaliTuko hapa tunasubiri taarifa wakuu, kama ni mchango tupo tayari. YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Hivi nikimtukana humu uchawi..wake utanifikia!?Nimesikia Akilichafu kakwama kortini. Haka kazee kachawi sana. Hakimu alimpa makavu live.
Alikuwa wapi kuweka pingamizi siku zote hizi hadi asubiri dakika za mwisho? Kakosa hoja na shauri lake likatupwa.
Anataka kuiweka Yanga rehani kwa njaa zake. Mabadiliko hayazuiliki.
Safi sana.Naona Abbas Tarimba ndani ya ukumbi
Jaribu uone yatakayo kukuta![emoji1]Hivi nikimtukana humu uchawi..wake utanifikia!?
Advartise ya kwanza ni kujikuta unaingia kwenye huo mkutano umevaa red full.Jaribu uone yatakayo kukuta![emoji1]
Haya sasaSafi sana.