Mkutano mkuu wa Yanga.

Mkutano mkuu wa Yanga.

Nimesikia Akilichafu kakwama kortini. Haka kazee kachawi sana. Hakimu alimpa makavu live.

Alikuwa wapi kuweka pingamizi siku zote hizi hadi asubiri dakika za mwisho? Kakosa hoja na shauri lake likatupwa.

Anataka kuiweka Yanga rehani kwa njaa zake. Mabadiliko hayazuiliki.
 
Hivi nikimtukana humu uchawi..wake utanifikia!?
 
IMG-20180610-WA0018.jpg
 
Attachments

  • IMG-20180610-WA0018.jpg
    IMG-20180610-WA0018.jpg
    97.3 KB · Views: 32
Back
Top Bottom