Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
Soma:Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC