Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hivi kati ya wale Viongozi wa nchi waliohudhuria mkutano huo, Je, nani pale nchini mwake hana kabisa makandokando ya kuwepo kwa Mgogoro kama huo wa huko Kivu DRC? Nani hasa pale ni msafi kiasi kwamba anaweza kuwa na uthubutu wa kuweza kumkemea Rais Paul Kagame wa Rwanda kwa yale anayotuhumiwa kuyatenda kule DRC?Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
Chukua hii, ukiona mkutano wowote unahusisha mdau wa CCM mwenye mamlaka basi usiuchukulie serious.Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
UmemalizaChukua hii, ukiona mkutano wowote unahusisha mdau wa CCM mwenye mamlaka basi usiuchukulie serious.
Usisahau walisaini makubaliano UN kabla ya kuanzisha vikundi vyao..Conditions zote mama zikogoverned by UN...huwezi kujiamulia kupeleka jeshi kupigana, wanaweza Russia ,Israel .Only Giants can make their decisions accordinglyTatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
Kwa mfano unaingiza jeshi Congo pale weeh pale utanufaika nini?..Kagame ana manufaa napo mbn vitu simpo tuu kuelewa..Congo yenyw inashndwa kujilinda kwa ukabila uliogubikaTatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct.
Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi.
Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama waasi wa m23 wataendelea kuonekana maeneo hayo.
Au lingetoka azimio la pamoja kuwataka waasi waondoke ndani ya masaa 24 vinginevyo viongozi wa nchi zote za SADC na EAC zi deploy makomando Kivu.
Kwa hali hii Kagame atatutawala sana EAST AFRICA na Afrika
Soma:Mkutano wa SADC na EAC waazimia kuondoa vikosi vya kigeni visivyoalikwa katika ardhi ya DRC
Utajivunia kamasi sababu ni zako?Wabongo hamjawahi jivunia chenu...
DRC is a failed state.Kwanini baadhi ya comment humu zinataka Congo apelekewe jeshi kumsaidia ilhali wana jeshi na nchi kubwa yenye rasilimali nyingi?.
Miaka yote wameshindwa nini kujenga jeshi madhubuti na kulinda nchi yao hasa mashariki mwa Congo?
Haya ndo mambo Trump hataki kusaidia watu daily mpaka wanakua mazezeta wakubwa.
Kongo wanatia huruma.DRC is a failed state.
Utawala uliopo huko upo dhaifu Sana.
Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo pia lipo dhaifu Sana kupita kiasi.
Jeshi la DRC lipo uchi wa mnyama kwa Utawala wa Rwanda.
Kuna uasi wa chini chini usiokwisha ndani ya Jeshi la DRC.
Wanajeshi wengi sana wa DRC pia ni Wapiganaji wa Siri wa M23.
Viongozi wengi wa Serikali ya DRC pia ni Mawakala wa Siri wa Utawala wa Rwanda na Vikosi vya Waasi wa M23.
Try to imagine: General Kabarebe aliwahi kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi hiyo ya DRC, lakini baadaye Mwanajeshi huyo alihama nchi na kwenda kuwa Mkuu wa Majeshi (CDF) wa nchi ya Rwanda.
Wewe uliwahi kuona wapi jambo la namna hii?