Mkutano wa 17 wa Bunge kuanza kesho Oktoba 29, 2024

Mkutano wa 17 wa Bunge kuanza kesho Oktoba 29, 2024

Mimi kwa mfano mbunge wangu kashindwa tu hata kujenga stendi ya mabasi pale arusha mjini.

Nitakuwa na furaha nikisikia kuna vikao vya Bunge??

Jibu ni hapana.
Arusha tunatia aibu kubwa sn pale hakuna stand ni aibu tupu
 
Kweli Bunge limekosa mvuto.Mimi nilikuwa nafuatilia Kila dakika,lakini hadi muda mfupi uliopita sikujua kama Leo Bunge limeanza.
 
Hamna bunge humo sheikh.
Hilo ni Jalala la bunge.Limekosa uhalali wa kuitwa bunge.wastaafu waliopigwa na kikokotoo na kuahidiwa kulipwa arrears mpaka leo hawajalipwa wakati wao wanajilipa posho kila kikao,vijana wako mtaani hawana ajira hakuna wa kuwatetea,wazee wanakufa kwa kushindwa kumudu gharama,gharama za maisha ziko juu lkn bunge liko kinywa matatizo kila sekta hatuoni utatuzi lina bunge liko busy kupitisha miswada kandamizi.hii ni laana kwa bunge letu.
 
Back
Top Bottom