Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Arusha tunatia aibu kubwa sn pale hakuna stand ni aibu tupuMimi kwa mfano mbunge wangu kashindwa tu hata kujenga stendi ya mabasi pale arusha mjini.
Nitakuwa na furaha nikisikia kuna vikao vya Bunge??
Jibu ni hapana.
Lile ni kusanyiko la kishetani kabisaHakuna Cha maana kinachofanywa na Hilo kusanyiko huko Dodoma. Halistahili kuitwa Bunge
Ni matumizi mabaya ya fedha za umma na hakuna la maana zaidi ya ujangili tupuKatika vikao vya hovyo tulivyo navyo hapa nchini mojawapo ni hili bunge.
Na kusifia ujinga tupu bila kazi yoyote ya maanaWanaenda kubunya pesa tu za walalahoi.
Hilo ni Jalala la bunge.Limekosa uhalali wa kuitwa bunge.wastaafu waliopigwa na kikokotoo na kuahidiwa kulipwa arrears mpaka leo hawajalipwa wakati wao wanajilipa posho kila kikao,vijana wako mtaani hawana ajira hakuna wa kuwatetea,wazee wanakufa kwa kushindwa kumudu gharama,gharama za maisha ziko juu lkn bunge liko kinywa matatizo kila sekta hatuoni utatuzi lina bunge liko busy kupitisha miswada kandamizi.hii ni laana kwa bunge letu.Hamna bunge humo sheikh.