Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,983
Heshima Kwenu,

Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.

Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.

Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.

Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anapunguza gharama kwa kuwatuma wawakirishi wake,sijui kama wao wanatumia maji.
 
Mnakera na hivi vijiandiko visivyo na mantiki.
 
Ahudhurie akaongee nini?kule hakuna anayependa kufundishwa kutumia mabavu kwa watawaliwa wake,kuua upinzani,wale wana akili zao.na wanakubali kupangiwa na wananchi wao kwakua ndio walio waajiri.huyu kachukua fomu mwenyewe na kawawekwa hapo alipo na lubuva.Mungu sikuiti uhukumu ila shuka,ili ushushe kuburi cha huyu mungu bahari.Mungu mtu huyu amejiinua kuliko upeo,Wewe na uliowaumba, kwake sio kitu.tuonyeshe uwezo wako juu yake ili ajue hawezi kushindana nawe,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…