Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Mkutano wa 37 wa SADC: Kwaniini Rais Magufuli Amekwepa Kuhudhuria?

Lack of Exposure..
Poor in International Diplomacy..
Language Improficiency..

He is suffering from the above three main diseases..
Sidhani kama atakuja kuhudhuria sehemu huyo.
Mtu akiongea kiswanglish anaonekana wa maaaaana wajinga tu wanakula hela za mabepari!!!
 
Kama mabilion yanamfuata hapa nyumbani kutoka kwa mamilionea na nchi kuu mbalimbali kumsifu kwa kuendesha nchi vizuri kuliko hata hizo nchi zenye exposure nyingi , what else do you need,aende for Tourism? Tayari anawakilishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si alisema hataki misaada, Leo ndio imekuwa sifa kutembeza bakuli. Ccm bwana MUNGU anawaona
 
Kumbe hata hujui mkutano unahusu nini. Ulitakiwa ufuatilie ujue agenda kwanza kabla ya kuja na lawama. Mi najua pamoja na issue nyingine kuna kujadili usalama na Tz kukabidhi uenyekiti wa kamati ya usalama kwa Swaziland

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa MWENYEKITI mwenyewe kajificha DASLAM

May Allah bless Me and You
 
Heshima Kwenu,

Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.

Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.

Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.

Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ni mtu asiyetumia busara na anayejiona yeye anajua kila kitu, kwa hiyo kwenda nje kukutana na wenzake anaona ni kupoteza muda wake, ambao hakuna cha maana zaidi anachofanya anyway.

Unless uniambie anaogopa kupanda ndege kwa sababu ya matatizo yake ya moyo kama ilivyodaiwa awali, in which case asingegombea kazi inayotaka kusafiri sana anyway, that is the only plausible explanation.
 
Screenshot_2017-08-11-14-10-26.png
Screenshot_2017-08-11-14-10-26.png
 
Back
Top Bottom