Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,464
- 2,206
Mtu akiongea kiswanglish anaonekana wa maaaaana wajinga tu wanakula hela za mabepari!!!Lack of Exposure..
Poor in International Diplomacy..
Language Improficiency..
He is suffering from the above three main diseases..
Sidhani kama atakuja kuhudhuria sehemu huyo.
Atakaa milele???Alishasema ananyoosha kwanza nchi na pia analinda wapigaji wasije wakaiba
aisee nyie watu nawauza kabisa hahahaha..
Si alisema hataki misaada, Leo ndio imekuwa sifa kutembeza bakuli. Ccm bwana MUNGU anawaonaKama mabilion yanamfuata hapa nyumbani kutoka kwa mamilionea na nchi kuu mbalimbali kumsifu kwa kuendesha nchi vizuri kuliko hata hizo nchi zenye exposure nyingi , what else do you need,aende for Tourism? Tayari anawakilishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui lugha za mikutano hiyo...huko hakuna kuongea kiswahili...ni mwendo wa ngeli tuu.dongo alilompiga mtangulizi wake linamfanya aone aibu asijeakaonekana kuwa wote ni walewale.
Sasa MWENYEKITI mwenyewe kajificha DASLAMKumbe hata hujui mkutano unahusu nini. Ulitakiwa ufuatilie ujue agenda kwanza kabla ya kuja na lawama. Mi najua pamoja na issue nyingine kuna kujadili usalama na Tz kukabidhi uenyekiti wa kamati ya usalama kwa Swaziland
Sent using Jamii Forums mobile app
Akipngea kisukuma vipi?.Hajui lugha za mikutano hiyo...huko hakuna kuongea kiswahili...ni mwendo wa ngeli tuu.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
Magufuli ni mtu asiyetumia busara na anayejiona yeye anajua kila kitu, kwa hiyo kwenda nje kukutana na wenzake anaona ni kupoteza muda wake, ambao hakuna cha maana zaidi anachofanya anyway.Heshima Kwenu,
Kuna Mkutano wa 37 wa SADC, Ushirikiano wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika unaoendelea mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Wakuu wa nchi mbalimbali wanachama wa umoja huo wanahudhuria.
Ni jambo linaloshangaza na pengine kukera kwa tabia ya Rais wetu, Mh. John Magufuli kukwepa vikao na mikutano ya kimataifa ambayo wakuu wa nchi hualikwa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo. Vikao hivi ni sehemu ya darasa kwa wakuu wa nchi hujifunza na kubadilishana uzoefu.
Mkutano wa SADC unahusu Afrika na unafanyika Afrika, Rais ana kisingizio gani kukwepa na kumtuma Makamu wake Mh.Mama Samia? Kuna dharura? Kuna hofu ya kupinduliwa?
Halafu tuna bahati kwa kuwa Katibu Mtendaji wa SADC anatoka Tanzania, Mama Stagomena Tax Bamwenda.
Rais anakosa fursa ya kujifunza na kubadilishana uzoefu na marais wenzake kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uko sahihi.Lack of Exposure..
Poor in International Diplomacy..
Language Improficiency..
He is suffering from the above three main diseases..
Sidhani kama atakuja kuhudhuria sehemu huyo.
Tehe tehe teh...Ha ha ha! Hivi SADC kuna mkuu yeyote wa nchi mwenye PhD? Taongea nini na mavilaza wewe?
Matusi mbele ya waungwana na mtu anayekuheshimu yanakuweka kundi la wapumbavu.Mnakera na hivi vijiandiko visivyo na mantiki.
Umenena mkuuLack of Exposure..
Poor in International Diplomacy..
Language Improficiency..
He is suffering from the above three main diseases..
Sidhani kama atakuja kuhudhuria sehemu huyo.
Hahahahah.kichwani mweupe pee kama karatasi ya uchumba
HahahhahahaMikutano kama hiyo ni ya watu wenyehekima zao, siyo kurusha mikono kama unapiga mbizi.
HahahhahahaMikutano kama hiyo ni ya watu wenyehekima zao, siyo kurusha mikono kama unapiga mbizi.