Ah!! Nina Hasira sana na Hiki Chama cha Mafisafi
Enzi za baba wa Taifa watu wengi walikuwa na uzalendo hasa ukichukulia kuwa kuingia kwenye chama ni mpaka uanzie mbali. Nakumbuka Sekondary tulikuwa tunajiunga na UVCCM as a pre-stage to being a full CCM member.
Sasa hivi chama kimevamiwa na wachumia matumbo yao hajuna tena uzalendo. Ni mpaka pale itakapoacha kukumbatia wafanya biashara CCM kitaendelea kuwa chama cha kifisadi
Tanzania! x2. nakupenda kwa moyo wote!
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=6CkQMTyjpAo[/ame]