Ah!! Nina Hasira sana na Hiki Chama cha Mafisafi
.
Lets be realistic, tuwe wakweli jamani, haiwezekani CCM wakawa wachafu wote, hata Sodoma na Gomora alikuwepo Lutu, ndivyo vivye kwenye CCM, pamoja na kutiwa mkononi na mafisadi na kazi yake ni kuwasikiliza hao, miongoni mwao, wapo baadhi ambao ni safi, sio lazima kutaja majina, mmoja wa wasafi hawa ni kijana mdogo Nape na wengine wengi wapo.
1.Asante Mtoto, japo jina ni mtoto, mambo yako ni ya kikubwa, yaani ya kiutu uzima.Pasco...u r killing me! Sodoma na Gomora ilipomalizwa, Lutu si aliokolewa? Meaning alitolewa huko. Hao wasafi unaowataja:
1. Wamekulia huko na pesa za kifisadi!
2. hawaoni maovu ya huko au wanasubiri nani aje kuwaokoa? Ibrahim?hahaha
3. This leads me to question their true motives...yaani:
a) Je wanataka kweli kuokoa taifa?; au
b) Wanataka na wao wawe somebody, ilimradi wamekuwa a somebody Katika historia ya nchi?
Kama kweli wewe ni msafi, i strongly believe utaondoka CCM. Kama wewe sio mvuta bangi, utaenda kukaa kijiweni na wezi na wavuta bangi kweli? Si utaenda kutafuta njia yako mwenyewe?...
Pasco, kama mtu msafi yupo ndani ya CCM, basi yeye ni MPUMBAVU.
CCM = Chama Cha Mpumbavu
.Pasco, Mkuu wangu wla usingesema ni chama cha Mafisadi..Kifupi inachekesha sana kuona ngome kuu za chama CCM wanazungumzia vitu hivi. yaani mbele ya Mwinyi, Pius Msekwa na Kinana, lugha zinazotumika pale ni uswahili mtupu...kumbe hawa watu tunawaona majukwaani akili zao hafifu kiasi hicho! damn....Now I know why tumeshindwa kwa miaka 47 ya Uhuru.
Pasco...u r killing me! Sodoma na Gomora ilipomalizwa, Lutu si aliokolewa? Meaning alitolewa huko. Hao wasafi unaowataja:
1. Wamekulia huko na pesa za kifisadi!
2. hawaoni maovu ya huko au wanasubiri nani aje kuwaokoa? Ibrahim?hahaha
3. This leads me to question their true motives...yaani:
a) Je wanataka kweli kuokoa taifa?; au
b) Wanataka na wao wawe somebody, ilimradi wamekuwa a somebody Katika historia ya nchi?
Kama kweli wewe ni msafi, i strongly believe utaondoka CCM. Kama wewe sio mvuta bangi, utaenda kukaa kijiweni na wezi na wavuta bangi kweli? Si utaenda kutafuta njia yako mwenyewe?...
Pasco, kama mtu msafi yupo ndani ya CCM, basi yeye ni MPUMBAVU. Kumbuka mpumbavu ni zaidi ya mjinga. At least mjinga anaweza kuelimishwa. Lakini mpumbavu ni mtu anayejua facts lakini anashindwa kutambua afanye nini!!
CCM = Chama Cha Mpumbavu
1.Asante Mtoto, japo jina ni mtoto, mambo yako ni ya kikubwa, yaani ya kiutu uzima.
2. Kwenye generalization sio busara kutumia lugha kali za matukano yaani too ofensive kwa mfano wana CCM wote mafisadi, wachafu au Wapumbavu. Wale safi watajisikia ofended.
3.Kuna wana CCM wachache safi na wangependa kutoka CCM lakini hawana pa kwenda, hivyo wameamua bora zimwi likujualo.
4. Come 2010, li CCM hili hili, na uchafu wake, na mafisadi yake, bado we will vote them in again and again and again till the end of time unless there is any serious altenative.
Jesus came on earth, and he ate and drunk with the sinners, but in the process, he managed to change many of them , and they finally became his followers!
What you say is just one approach to the solution, but the other one is to remain just inside there and do the necessary changes...isn`it?
.Unaweza kuniambia ni nini CCM imeweza kufanya kwa wananchi? Ndo maana nimesema, kama upo CCM na huoni haya...wewe sio mjinga, bali ni MPUMBAVU! There is no way to help!!
.
They did what they did ndio maana tuko hapa leo. Sometimes its better a devil you know than you don't know in an event where there is no altenative.