Elections 2010 Mkutano wa ccm na wakusanya watoto

Elections 2010 Mkutano wa ccm na wakusanya watoto

AMARIDONG

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2010
Posts
2,501
Reaction score
185
Wadau nimepita pale ubungo stend ya daladala upande wa pili kuna mkutano wa ccm umejaa watoto wadogo na watu wazima kama nane hivi wote wamevalishwa nguo za chama tawala na kofia.mama hawa ngumbi yuko pale anaomba kura kwa hao watoto duuuuuu;;maji ya shingo
 
Ndio atakoma kupambana kwenye siasa hasa kupitia chama cha kisaniii CCM, HAUZIKI HUYO MAMA
 
hee hata mtaani kwetu leo diwani alikuwa anafanya kampeni...waliokuwepo ni watoto na wakati CCM wanaondoka,hao watoto wakawa wanakimbiza gari ikabidi diwani awaambie watoto rudini nyumbani mpaka kesho tena....kweli ni vituko
 
pretaaaaaaaaaa picha ko kali kama unafanana na mkwere preta,akikuona lazima aombe mtoko

kama ana sera....lakini kama sera zake ndio hizi hizi ninazozisikia......no mtoko kwa kweli
 
kama ana sera....lakini kama sera zake ndio hizi hizi ninazozisikia......no mtoko kwa kweli
pretaaaaaaaaaaaaaaa unamvuto kama slaa,kudadeki weka namba yako ya simu hapa preta tukutafute next wikend
 
pretaaaaaaaaaaaaaaa unamvuto kama slaa,kudadeki weka namba yako ya simu hapa preta tukutafute next wikend

am soree....niko kiuchaguzi zaidi.....imebaki wiki moja tumuapishe rais Slaa.....nipo kwenye kamati ya upambaji jukwaa.....tukutane kwenye sherehe
 
am soree....niko kiuchaguzi zaidi.....imebaki wiki moja tumuapishe rais slaa.....nipo kwenye kamati ya upambaji jukwaa.....tukutane kwenye sherehe

wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa;;;
 
hee hata mtaani kwetu leo diwani alikuwa anafanya kampeni...waliokuwepo ni watoto na wakati CCM wanaondoka,hao watoto wakawa wanakimbiza gari ikabidi diwani awaambie watoto rudini nyumbani mpaka kesho tena....kweli ni vituko

si kama wa tutania, wa tueleza bayana, kwa kweli sikudhani kama sasa wametingwa aaaa
 
wote wamevalishwa nguo za chama tawala na kofia.

Hii nimeipenda, wamevalishwa au wamevaa? Inawezekana wamerubuniwa ili wavalishwe. Hawa watoto si unajua wamefuata sebene? Utashangaa walikuwa wakishangilia huku wakiponesha alama za vidole viwili aka chadema's Peace sign. Its our tym!
 
Back
Top Bottom