Mkutano wa CCM Shina no 7 - Kising’a, Iringa

Mkutano wa CCM Shina no 7 - Kising’a, Iringa

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
SHINA NO 7 - KISING’A -IRINGA

Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 30 Mei 2023 amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa CCM kata ya Kising’a Jimbo la Isimani Shina No 7 kwa Balozi Rose John

Pamoja na mambo mengine Ndg Chongolo ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya balozi Rose John kutoka nyumba ya kupanga na kupata nyumba yake ya kuishi ya kisasa na yenye hadhi ya Balozi wa CCM Shina No 7 kata ya Kising’a.

Ndg. Chongolo ameongozana na wajumbe wawili wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Issa Gavu - Katibu wa Idara ya Organaizesheni na Sophia Mjema - Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi, huu ni mwendelezo wa ziara ya katibu Mkuu wa CCM ya kuimarisha Chama katika Ngazi zote na kutatua Changamoto za wananchi Mkoa wa Iringa.

#Kazi iendelee

IMG-20230530-WA0381(1).jpg
IMG-20230530-WA0380(1).jpg
IMG-20230530-WA0377(1).jpg
IMG-20230530-WA0383(1).jpg
IMG-20230530-WA0379(1).jpg
IMG-20230530-WA0382(1).jpg
IMG-20230530-WA0385(1).jpg
IMG-20230530-WA0387(1).jpg
IMG-20230530-WA0384(1).jpg
IMG-20230530-WA0386(1).jpg
 
Back
Top Bottom